Msimamo wangu

Kwa masharti hayo kama we bado bikra utampata lakini kama ushatumia tatu bomba za aina tofauti utazeeeka
 
Kwa masharti hayo kama we bado bikra utampata lakini kama ushatumia tatu bomba za aina tofauti utazeeeka

Keep on dreaming, come again whn yo awake.
 
usitukane mamba hujavuka mto bibie,hujafa hujaumbika na kufanya mambo mengi in the name of LOVE
 
Hii misimamo mingine huwa haina uhalisia kabisa na ni migumu sana kuitekeleza.

Lakini kwa ajili ya changamsha jamvi tu huwa inavuta nadhari za wengi.

Hii misimamo imetulia,ngoja niikopi kwamanufaa ya siku za karibuni...tehe tehe
 
Last edited by a moderator:

Wewe ni MMACHAME na mbaya zaidi umetendwa,pole sana ila sio wanaume wote wabaya.
 
Wanawake huwa mnaabudu sana hela ila hilo ndo kaburi lenu,rest in peace!
 

Yaan nikikutana na mchumba kama huyu nitalazimika kudelete tu, hakuna namna
 
Uwe na masharti ivo lakin uwe vizur bas, madem wa ivo ndo unakuta maku imejaa maji yan lol!!
 
Iko poa bt upunguze ubinafsi maana siku yakikugeuka hao ndungu hawatakuangalia usoni.lakin pia hayo yanakuwa applicable kutokana na nature ya mwanaume ulienae au utakayekuwa nae.huwezi kudisplay hizo tabia kwa mwanaume ambaye ni honest.
 
kweli wake walishaishaga. siku iz kuna wauza papuch kwente ndoa.
kwenu nyie mna mali?
wewe una miliki sh ngap?
 
Ila mara nyingi misimamo kama hii huwa ipo kwa mademu wa chuo(kichuochuo).wanapokuwa kwenye mijadala yao.kuimplement kwenye maisha halis ndio issue.
 
Una uchi wa dhahabu nini... au umejiumba mwenyeww.... au haubleed labda..!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…