Msimamo wangu

hahahaaaaa!! hiyo ilikuwa changamsha genge tu sijui nani kaifukunyua tena hii

Na bado...waweza kushangaa baadae sana unafukinyuliwa wakati wewe unamaisha mengine kabisa..!
 
Last edited by a moderator:
umeshanitisha na huo msimamo wako

baby Viol mie kwako ni kama mkate kwa chai yaani hata sielewi misimamo yote imeyeyukia wapi!!! mahaba mazito unayonipa mpenzi wangu hata sijielewi.
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa Eli79 bwana, aibu ya nini sasa kwa mfano??


Wajua unaweza kuandika kitu leo, kesho ukikisoma unaona aibu na kujiuliza hivi nilikuwa nawaza nini??
 
Last edited by a moderator:
Wajua unaweza kuandika kitu leo, kesho ukikisoma unaona aibu na kujiuliza hivi nilikuwa nawaza nini??

hahahaaa!!! yaani hata sionagi aibu yaani huwa nikiusoma nacheeka nakumbuka ilikuwaje nikauleta uzi huu maana hata source yake sikumbuki, yaani kiufupi unanifurahishaga sana haswa hizo comment za wadau, khaaah!!!
 
Sijui Zoba gan atakubali kuwa nawe...
Wajanja watabamiza na kupotea...
 
labda mgonjwa wa akil atakubali

Hahahaaaa!! Mume wangu sio mgonjwa wa akili, ni "mwanaume" anayeijua nafasi yake ktk familia yake, so walaaaaa mambo yenda smooth
 
Sijui Zoba gan atakubali kuwa nawe...
Wajanja watabamiza na kupotea...

Tafsiri ya "mjanja kwako" ni ipi? Sasa mbona kaweka makazi? Grow up boy then u'll understand
 

Mmeskia tangazo ilo ..... 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…