thats it, mwanaume co ndugu yako hawatabiriki hawa, tena ukute mhongaji pembeni ati!! uwii yangu hagusi hata kumi atatumia yake tu pia tutatumia yake tu!!
eti eeeh!!! ila inakuwa anact tu ila kiuhalisia hicho ndicho anachokitaka!
kisa cha kunipiga nn? kila mtu na misimamo yake ati! umeona haikufai unasepa kimyakimya sasa kisa cha kugawana majengo ya serikali nn!!!
as long as am a woman na akaona namfaa thats all counts
eti eeeh!!! ila inakuwa anact tu ila kiuhalisia hicho ndicho anachokitaka!
aisee hii bado ipo kabisa