Msimamo wangu

Mkuu, maisha ya ndoa ni kitu tofauti kabisa na hizo looks, kufurahisha ''wazee'' wenzako kwenye business meetings n.k. Angalia mbali zaidi na utaona mke bora anakuwaje, pamoja na kuwa wengi tunaangalia mwonekano, kuna vit va msingi sana zaidi ya mwonekano ambavyo ndio vinashikilia ndoa...
 
Dear atoto, Asante sana, Am humbled!!!
Nikushukuru wewe kwa kuchokoza mada.. nimejifunza vingi sana, pia namna watu wengi wanavyolichukulia hili swala.

Uwe na wakati mwema.

Last edited by a moderator:
Dear atoto, Asante sana, Am humbled!!!
Nikushukuru wewe kwa kuchokoza mada.. nimejifunza vingi sana, pia namna watu wengi wanavyolichukulia hili swala.

Uwe na wakati mwema.

U need to be strong!!!
 
Last edited by a moderator:

You are welcome atoto......though sina ukomavu kihiiivyo kama hao ndugu wengine.
Ila mada ilikuwa hot, tumejua wanaume wanatarajia nini kutoka kwa mwanamke....
 
Last edited by a moderator:
Nukuu yangu....1-mwanamke kama wewe ntakutumia ka big jii.
2.kama mzuri sana utakuwa hawara ila siwezi kukuowa
3.ntakuzalisha kama mpemba ilikukuchakaza...kama unavyo tumia noti zangu
4.ntakupa kila kitu ila sio penzi la dhati...maana najua unapenda walet yangu
5.sitakujulisha chochote kuhusu mali au biashara zangu
 
Dear atoto, Asante sana, Am humbled!!!
Nikushukuru wewe kwa kuchokoza mada.. nimejifunza vingi sana, pia namna watu wengi wanavyolichukulia hili swala.

Uwe na wakati mwema.

Yes and that was ma intention, so nimejifunza mengi pia kutokana na mitazamo mbalimbli ya watu juu ya hili suala as its true kuna baadhi ya wanawake ambao ndivyo wanavyoishi.
 
Last edited by a moderator:
You are welcome atoto......though sina ukomavu kihiiivyo kama hao ndugu wengine.
Ila mada ilikuwa hot, tumejua wanaume wanatarajia nini kutoka kwa mwanamke....

pamoja na hilo ulitoa mchango ambao ulivuta makini yangu so to me niliona una ukomavu kwa kiac fulani juu ya haya masuala
 
Last edited by a moderator:

wacha weee!!! these minds jamani! hv unapomzalisha watoto wengi unakuwa umemkomoa mwanamke eeeh??? na wanao je!??
 
wacha weee!!! these minds jamani! hv unapomzalisha watoto wengi unakuwa umemkomoa mwanamke eeeh??? na wanao je!??

na unavyo kuwa selfish unanikomoa mimi au maendeleo....hahaha yani we nakufanya chombo cha kufetua watoto haina shida ntawaudumia wanangu.ila na wewe lazima ufubae.kama unavyo nichakaza mfukoni.natena nikiwa na kirusi ndo sifikirii kukusambazia kama nnavyo kusambazia dolariiii
 
Na kwa mitazamo hiyo yaani c ajabu ndoa kudumu mwezi ikavunjika na watu kuishia kulaumiana, si kila mwanamke ni "mke" jamani(my mom once told me)
 
kila la kheri ktk hilo
 
Uttakuwaje na chako wakati utakuwa golikipa tu??
 
Siupingi Msimamo Wako Ila Lazima Uwe Na Bahati Ya Kumpata Mume Mwenye Kuusuport Huo Msimamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…