Msimamo wangu

Your life your rules. Hao wanaosema misimamo ya kipumbavu kwani ni misimamo ipi iliyo maandiko hata kila mtu aifuate???
Aghaaaa!!!

tell them my dear, hiyo wanayotoa ni yao n km walishindwa kuwa na micmamo au kutekeleza micmamo yao pia niwao, kushindwa kwao co kushindwa kwangu
 
Mtaani kuna vichaa wakosekane humu jf, haiwezekani hata siku mmoja,
kila kwenye watu wengi kuna vichaa kwa mfano hili, sijui lilisoma chuo ngani?
 
Kwa msimamo Huo hutokaa uolewe ng'o.

Na hata ukiolewa hutodumu kwenye ndoa!!

NAMI NIMEMALIZA PIA!!
 
swadaktaaa! kama pesa zake zinatosha hadi kuhonga michepuko iweje na zako ziwe zake!!!?
 
Hizo ni Fikra tu ila kwenye ndoa inategemea usifikiri mawazo yote yanaweza kutumika .Mengine hutayatumia usitudanganye
 
Bado upo ndani ya box na ni self-centered.Ombea usipate mbabe,utafuta kauli zote kwa mkupuo.
 
Natafuta mwanamke mwenye msimamo kama wako,ili tukielewana vizuri tufunge ndoa.
 
Kwa jinsi ulivoandika kama unahasira na haraka fulani hivi kunywa kikombe cha maji kwa upate pumzi vizuri sana
 
Mtaani kuna vichaa wakosekane humu jf, haiwezekani hata siku mmoja,
kila kwenye watu wengi kuna vichaa kwa mfano hili, sijui lilisoma chuo ngani?

its takes no tym for one to know one, lol!
 
swadaktaaa! kama pesa zake zinatosha hadi kuhonga michepuko iweje na zako ziwe zake!!!?

thats it my dear, ahonge tu ila tunatoka pasu, co nahangaika na watoto yeye anahonga michepuko!! inahuuu!
 
Bado upo ndani ya box na ni self-centered.Ombea usipate mbabe,utafuta kauli zote kwa mkupuo.

ubabe kwenye mapenzi wa nn sasa!! nashukuru wangi co mbabe n veryyyyy understanding
 
wow!..nice dreams....kuna waowaji basi siku hizi?!
 
Kwa jinsi ulivoandika kama unahasira na haraka fulani hivi kunywa kikombe cha maji kwa upate pumzi vizuri sana

hiyo siyo hasira ni kuonyesha mcctizo!
 
Ha ha mleta thread anavyoongea hapa utakuta washa.mfungua..na mwanzo alikuwa na mashart..mwanaume hanipati mpaka anioe
 
kumbe hawapo!! bac mie nilibahatika

hongera sana kama "unaye"!
btw, huo msimamo ulioonesha hapo juu ni standard kwa wanawake wote, siyo kwako tu.
sisi wanaume misimamo yetu huwa siri ya mtu binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…