Msimamo wangu

sa ulieniambia unanipa ni yupi?? (ninaushahidi wa kutosha usijaribu kukataa)

mlikuwa wapi na ktk hali gani hiyo ahadi ilipotolewa??!!! dada DEMBA nitakuwa ckutetei tena!!! mbona ushahid unaongezeka!
 
Last edited by a moderator:
hizo tabia ndizo zinazotakiwa ktk jamii, lazima tujenge jamii iliyo bora kwa msingi huu

kwako wewe, jamii ya hivyo ndio yenye msingi bora?? kweli umefulia
 
pitia uzi, utaona mahali wamemtaja pacha wangu, yaani tuko copy right

Yani kumbe upo kama mbuta nanga....na masharti yote haya! Kwa kweli hata salam hupati....labda upunguze masharti na tena uanze ww kutoa hi. Lol
 
Dah,mkuu Matola umeongea jambo muhimu sana. Ngoja ajibu km amewahi kushika japo 1ml.
 
Last edited by a moderator:
Yani kumbe upo kama mbuta nanga....na masharti yote haya! Kwa kweli hata salam hupati....labda upunguze masharti na tena uanze ww kutoa hi. Lol

uwiiii!!! kwahiyo zile nyingi ninazopataga huwa ni unafiki!!! km ndio hivyo nimeamini kuna wanafiki wengi dunia hii
 
wamachame wapi wanawake wengi wanamtazamo huu sema wengine wanaogopa tu kusema waziwazi wataoneka magold digger.
Huu mtazamo na msimamo ni wa mtu aliye single..ivi kwa mfano umeolewa ukaskia mmewako anaumwa labda anatakiwa operation ya haraka na mfukoni ana hela kidogo na matibabu yanataka hela kidogo na wewe unazo utabaki na huo msimamo..na nyinyi wakubwa hapa muwe mnaangalia vitu vya kuunga mkono..!!!!
cc:Evelyn Salt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…