Msimamo wangu

Thats LOVE Kalu20!!! Umeniqute ila unanirefer kama dada.. na mvi zote izo jamani!!!

Watu wanaongozwa na ubinafsi sana na kujiangalia wenyewe. Wewe fikiria mtu mmependana, mnaaminiana, mnaishi na kulala pamoja, unatoa wapi ujasiri wa kuwa mbinafsi kiasi hiko? SISEMI kwamba mwanaume asichukue majukumu yake yoote ya msingi... Lakini naogopa sana huu ujasiri wa kujibinafsi hivi unakotoka, ni kwa sababu mtu hataki kuihudumia kwa chochote familia yake na mumewe (hata akute tunda zuri njiani amwambie mumewe amtumie pesa ili anunue? NOT FAIR

Ninamfahamu mtu mmoja yeye kaishia la saba, mke wake alikuaga mwalimu wa primary, Jamaa kamsomesha mkewe nadi kamaliza Masters pale UDSM, kaajiriwa noi mkurugenzi wa nini sijui huko... Japo mumewe anajiweza na anaihudumia vizuri familia akiwemo na mkewe.... Huyo mwanamke ndio hata iweje hawezi kutoa senti tano yake hapo nyumbani.. kila kitu KAMWAMBIENI BABA YENU ofcourse ni sawa lakini inaingia akilini kweli?????// siku itokee atumie hela yake ni malalamiko wiki nzima... yeye yupo busy sana na marafiki na investments zake au kujionesha kuwa anazo... sasa hizo ni akini? huo ni umoja? Ni nini faida ya yeye kusoma na kwenda kazini with respect to Yeye na familia?

Hatupaswi kuwategemea ninyi kwa lolote ila OMBENI sana HEKIMA juu ya kazi na vipato vyenu... vinginevyo ubinafsi wenu ndio metego wenu.
 
Last edited by a moderator:


changu changu chake chetu, so kwenye chake hapo umoja upo wa hali ya juu
 
Last edited by a moderator:
Ni nini kinachokusukuma kufikiri na kuamua hivyo? Hapo ndipo kiu yangu ilipo wala sio swala la kushare. Tunajua familia ni Jukumu la mwanaume.
changu changu chake chetu, so kwenye chake hapo umoja upo wa hali ya juu
 
cku nyingi sanaaaa na bado upo

Je, kuna sababu inayokusukuma kuwa na msimamo huu?
..yaweza kuwa malezi, baba na mama waliishi hivyo kwa hiyo na wewe unataka kuishi kama wao?
..yaweza kuwa uliumizwa na mmoja kati ya maex wako katika swala la finance?
 
hata awe na utaalamu vipi, haongwi ng'ooo!

we mwepes tu.huna ugumu wowote tena unakubal kumegwa alaf ndo usitoe mshiko?kam umekubali kutowa chamwilin ushindwe pesa?
 

aisee nimependa busara zako...
 
ha ha ha ha kwa familia za kitz haya hayatawezekana

na kama yakiwezekana bsi mtakuwa familia ya pekee kwa maana ndgu zako hawatakuelewa(selfshness) na mumeo hatafurahia ndoa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…