Msimamo wangu ndani ya Chama

CHEDEMA TANGU mwanzoni mwa miaka ya 1990.mpaka leo hata siyo katibu wa msingi,tawi wala kata?
Kadi namba hakuna?
Viongozi wako akinanani huko unakotoka?
 
Mkuu Freeland huyu Molemo huenda ni Lumumba nini?
 
Last edited by a moderator:
Rosemary ana hoja,CHADEMA jengeni utamaduni wa kuvumilia na kuheshimu mawazo ya wengine hata kama hayawafurahishi,hivyo ndivyo demokrasia ilivyo.Hakuna nchi,taasisi,idara,shirika au kampuni itakayofanikiwa kama hakutakuwepo na uhuru wa mawazo na fikra.,never!
 
Usitukane watu wapuzi maana huwajua au hutujui tulia uweleweshwe
 
Last edited by a moderator:
Wewe mumeo si kafariki?
 
Usitukane watu wapuzi maana huwajua au hutujui tulia uweleweshwe

Upuuzi sio tusi...bali upuuzi ni sifa

Kwa watu aina ya Molemo ambaye wewe unafanana nae hata namna ya kuandika sifa hii wanaendana nayo

Mkuu Precise Pangolin kuna uwezekano mkubwa huyu jamaa sio wa Lumumba lakini ni aina ya mtu ambaye uwezo wake wa akili ni wa chini mnooooo...Ni wale watu ambao hawezi hata kufikiria yeye binafsi...hawa ndio watu ambao kwa maneno yao wanafanya wengine tuonekane wapumbavu
 
Last edited by a moderator:

Naomba nikwambie watu wote double standard hatuta wavumilia.. naomba ninuku kauli ya mwenyekiti wangu HATUTA VUMILIA WASALITI NATUKIWAKAMATA mwisho wakunuku... jitafakari kama kweli upo chadema

Chadema Kwanza
 
rosemarie,

Ikiwa kweli unaipenda CHADEMA achana na hawa mamluki wa JF wanaojifanya kwamba wao ndo wana uchungu sana na chama kumbe wengi wao ni stress za maisha ndizo zinawasumbua! Hawa ni wale wanaotaka kila mtu aamini wao ndio wenye uchungu sana na nchi hii na ni wao peke yao ndio wenye uchungu na wanaofahamu nini maana ya mabadiliko! Hawa ni wale ambao hawataki hata siku moja wakisikia inaongelewa negative side ya chama utafikiri chama kinaongozwa na malaika!! Hao ni wale wa "ndio mzee" ili mradi jambo lenyewe limeongewa ama kufanywa na yule wanayeamuona ni wa maana! Hawa ni wale, usishangae, mtu na shahada yake lakini haoni taabu wala aibu kubeba mikoba ya wanasiasa! Hawa watashangilia kila kitu kinachotoka upande wao hata kama kitu chenyewe ni cha kipumbavu!
 
Last edited by a moderator:
Nikweli mimi na Molemo tunaendana sana sana kwakua tunapinga watu ambao ni double standard kama nyie
 
Last edited by a moderator:
Hatuta mumunya Maneno nanuku maneno ya Dr. Slaa nibora tubaki wachache wenye nia safi na chadema
 
Last edited by a moderator:
Na mwaka huu mtaibishana mpk mkome, mara ACT mara Chadema, mnaandka paragraph 3 hamuelewek, mnatukanana ndo mnataka nchi nyie? Hata kuendesha Mkoa hamjafkia jamani! Kiongozi bora atatoka ccm, trust me.
 
CHEDEMA TANGU mwanzoni mwa miaka ya 1990.mpaka leo hata siyo katibu wa msingi,tawi wala kata?
Kadi namba hakuna?
Viongozi wako akinanani huko unakotoka?

Sio lazima kila mtu awe kiongozi ndani ya CHADEMA

Asante
Forward Ever,Backward Never
Freeland wa JF!
 
Na mwaka huu mtaibishana mpk mkome, mara ACT mara Chadema, mnaandka paragraph 3 hamuelewek, mnatukanana ndo mnataka nchi nyie? Hata kuendesha Mkoa hamjafkia jamani! Kiongozi bora atatoka ccm, trust me.

Acha upoyoyo ndugu yangu...nani amekuambia hapa JF ndio kikao cha chama..hapa kuna watu mbalimbali hata mashabiki....Na kutofautiana mawazo ndio afya ya chama.

Asante
Forward Ever,Backward Never
Freeland wa JF!
 
huyu tahira kweli unalazimisha tuheshimu mavi...
 
Hatuta mumunya Maneno nanuku maneno ya Dr. Slaa nibora tubaki wachache wenye nia safi na chadema

Yaani wewe hata hujistukii...wenzako wa CHADEMA humu wanakukosoa wewe unaona sawa tuuu...Hovyo sana wewe mtu....CDM would be better off without you "Ndio Mzees"

Asante
Forward Ever,Backward Never
Freeland wa JF!
 
Na mwaka huu mtaibishana mpk mkome, mara ACT mara Chadema, mnaandka paragraph 3 hamuelewek, mnatukanana ndo mnataka nchi nyie? Hata kuendesha Mkoa hamjafkia jamani! Kiongozi bora atatoka ccm, trust me.

majambazi bora yako CCM...trust me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…