Msimamo wangu ndani ya Chama


Kwa post kama hii ukiitwa mpumbavu utasema ni tusi, unashindwa kutofautisha tusi na sifa uliyonayo. Hata hivyo naungana na Molemo kuwa siku ukisikia mapumbavu ccm yanamsifu kamanda anayepigania haki na demokrasia, ambayo maccm yameikandamiza basi atakuwa ameungana nao, anatakiwa afukuzwe!!
 
Last edited by a moderator:
Nenda ACT rosemarie, unafaa kuwa kwao maana upumbavu kama huu unaabudiwa, mtu mwenye ndimi mbili kama zako anaweza kuukwaa uongozi. Tambua, ukienda ACT utakuwa umemtukuza kinana
 
Last edited by a moderator:

Na mwenye kuelewa aelewe. Maana CHADEMA haihujumiki. Na yeyote atakayeleta usaliti kwenye chama atashughulikiwa accordingly
 
Last edited by a moderator:
Haya sasa mtanyongana mwaka huu. Kudadadadekiii
 
Jamani mimi nimesoma huu uzi na mtoa uzi amesisitiza sana kuwa mchangiaji awe competence katika ujengaji wa hoja wakati akichangia. Lakini mimi nimeona yeye mwenyewe uwezo huo hana, kwasababu hoja yake ya msingi sijaiona na hata namna alivyoijenga inaonesha kabisa thinking capacity yake ni ya namna gani. Sijui wenzangu kama umeona hoja yake. Labda mtoa uzi ungeuhariri alafu uijenge upya hoja yako ya msingi vinginevyo mimi ninaona bado hujaeleweka.
 
hahaha rosemary kimaro am not here to criticise people but i must confess that umezungmza mengi ila i dont see the pivot comrade.if i may ask what is ur stutus kwenye chama..........umezungmzia msmamo wako kuheshmika na watu wote kwa sbb ni haki yako yakikatiba ila nataka ukumbuke katiba inaconfir rights alaf inakunyanganya vile vile there fore kuheshim matamshi ya mtu yenye loopholes au lacuna ni kama usaliti na kutokufkiria nje ya box.
 

unakarbishwa ACT but sie hatuamin katika ukanda........... VUA GAMBA&GWANDA VAA UZALENDO
 
Dada Rosemary naheshimu sana msimamo wako ila sijaelewa unasimamia wapi mean cjaelewa hoja unayoisimamia nakusubiria hapa tuupate huo msimamo wako
 
Ndio yale yale ya Zitto kujiunga na chama akiwa na miaka 16!
 
Mmmmh, mwanachama wa mwanzo ya miaka ya 90?

Bila shaka kasi na upepo wa hivi sasa huwezi shindana nazo. Ni lazima akili itakuwa imechoka tu.

Pole sana Dada yangu RosenaMarry. Ng'atuka tuu kaa pembeni uachane na siasa na uwe mshauri tu.
 
Umepga introduction na conclusion, where is the main body?u got 3/20 main body umeruka hii essay ni kwikwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…