Hivi huwa kuna aina ngapi za kenge? Kutokana na ulivyoongea inaonekana kama kuna wa porini na wa kufugwa. Hata hivyo, mimi nafikiri mtoa mada ana nia nzuri. Nilivyomuelewa mimi ni kama anaongea vile katika kuibeza CCM. anatumia tamathali ya semi inayoitwa "Irony" kwa kiingereza. Mimi mwenyewe huwa najiuliza, hivi itakuwaja kwa mfano nchi kama Comoro ikitaka kujiunga na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Wataruhusiwa kuwa na serikali yao au tutashirikiana koti la Muungano pamoja na Tanganyika ili tuenelee kuinyonya Zanzibar?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.