Nawaasa CDM central committee members kufanya tathmini ya kina ni kwa nini wapiga kura wamejitokeza less than 50% ????? ili kuweza kutibu hiyo tatizo kwa kutoa elimu kwa wapiga kura maeneo mengine
Hilo nakubaliana na wewe hizi figure zifanyiwe auditMimi napingana na wewe
Hao waliojitokeza ndio wapiga kura halisi, na ninaweza kusema kwamba wapiga kura halisi wamejitokeza kwa zaidi ya asikimia 85% kupiga kura jana.
Hao wengine ni ghost voters, special kwa ajili ya kupenyeza mabox ya kura, wewe haujiulizi mabox ya kura waliyokuwa wanahangaika nayo jana walitegemea yakatumike vipi?
Tafakari
Nawaasa CDM central committee members kufanya tathmini ya kina ni kwa nini wapiga kura wamejitokeza less than 50% ????? ili kuweza kutibu hiyo tatizo kwa kutoa elimu kwa wapiga kura maeneo mengine
patoxic taratibu....usimchongee kagenzi kwa mwajiri wake....sidhani kama ni mere mwanamabadiliko ila ni msimamizi mzuri wa haki na maendeleo!!!
huyu ndio alisimamia uchaguzi wa tarime baada ya kifo cha chacha Wangwe na chadema ikashinda huyu anatenda haki ila ccm watamchukia sana na ikiwezekana watamhamishia wilaya chovu kama nkasi au kasulu nk
Kiuno chako. Nani kakuambia Kasulu ni wilaya chovu!huyu ndio alisimamia uchaguzi wa tarime baada ya kifo cha chacha Wangwe na chadema ikashinda huyu anatenda haki ila ccm watamchukia sana na ikiwezekana watamhamishia wilaya chovu kama nkasi au kasulu nk