Msilipe malipo ya leseni serikali za mitaa bila risiti za EFD

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,569
Baadhi ya manispaa zimetoa ruhusa leseni kulipiwa serikali za mitaa baadhi yao wanakusanya na kuwaambia watawaletea leseni baada ya wiki.

Hakuna kama hicho, maofisa wa manispaa wanakwenda pale serikali za mtaa wakiwa na mashine za EFD na leseni unapolipa wanakupa

Msitoe hela bila kupewa risiti za EFD, huo ni wizi na ripotini manispaa.

Okoa Tanzania, lipa kodi, pokea EFD
 
Back
Top Bottom