Baada ya mwanaharakati huyo kushiriki vilivyo kuwafichua vingogo wa serikali katika sakata la escrow akaunti imeamua kumtosa kwa kushirikana na mahakama kutupilia mbali shitaka lake la kutaka kutokujadiliwa na chadema.
mwanasiasa huyo mpingania maendeleo ya taifa lake kimeamua kumtega chama kwa kutuhumu za fikisu za uchu wa madaraka ndani ya chama pamoja na taifa.
mwanashiria wa chama hicho tundu lissu kwa kushilikiana na chama chake cha ukabila hatimaye wamefanikiwa kumtokomeza mwanasiasa huyo ndani ya chama.
ushaidi upo wazi kwamba mbowa na dk.slaa ni wezi wa hela za ruzuku zinazotolewa na serikali, dk.slaa na mbowe wameshidwa hata kukiendesha chama, hadi kiazishwe mikoa ya shinyanga na mwaza ofisi zao ni nyumba zilizochoka katika maeneo machache huku maeneo makubwa yakiwa hayana hata ofisi.
Mwanaume mda siyo mrefu atauguruma kwenye spika za clouds mda huu. mtanzania msikilize mwanaharakati.
Mwanaume mda siyo mrefu atauguruma kwenye spika za clouds mda huu. mtanzania msikilize mwanaharakati.
Alikuambia nani? kwamba nimepigwa life ban.
mwanaume kumsifia mwanaume mwenzako kwa style hiyo kuna shida kidogo hata kamaa unampenda punguza mahaba
nimecheka sana,si bure huyu mwenzetu atakuwa na ashk majnuun
mwanaume kumsifia mwanaume mwenzako kwa style hiyo kuna shida kidogo hata kamaa unampenda punguza mahaba
anyway msikilizeni mtuambie anaongea nini wengine tuna allegy na sauti ya kibonde mzee wa chini ya meza
asije akafia kwenye mic, bora angekaa kimyawatu waongeeeeeeeeee ndipo sasa aende redionimwanaume mda siyo mrefu atauguruma kwenye spika za clouds mda huu. Mtanzania msikilize mwanaharakati simba wa nyika mpenda watanzania na nimpingania haki ya wanyonge
Mwanaume muda siyo mrefu atauguruma kwenye spika za Clouds muda huu. Mtanzania msikilize mwanaharakati SIMBA wa nyika mpenda watanzania na
mpigania haki za wanyonge.
Mwanaume muda siyo mrefu atauguruma kwenye spika za Clouds muda huu. Mtanzania msikilize mwanaharakati SIMBA wa nyika mpenda watanzania na
mpigania haki za wanyonge.