Msile vyote mtuachiage na sisi

πŸ˜…πŸ˜…πŸ™Œ, em tuma Kwani nizione
Sifa zangu
1 I am married but natafuta mchepuko mzuri wa kunipa mawazo stress hazinitosh

2 Nina kitambi ila sio kikubwa sana

3 Sina kazi ila ninapiga vibarua sema sio vibarua vya kulimaπŸ˜€

4 Nina kiuwaraza ila kina nywele bado hakijasa upara

5 Mkristo

Navyofanania ngoja nitupie picha
 
Mbuzi wengine hula kwa huruma za mchungaji. Kamba inaweza kuwa ndefu ila kafungwa kwenye uwanja wa basketball
Point kbs
Kumbe amechange jina ? πŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu huyo jamaa najua yangu mengi ila bado mwambie ajue na nyingine
Ni wa kiume[emoji23]....tunafanyaje sasa...
Baki nae
πŸ˜…πŸ˜…πŸ™Œ, em tuma Kwani nizione
Tapeli huyo mchaga, njoo usambaani
Alikuw ana ID tatu zote Zina majina shetani. Ile nyingine ya Ubobo ikafutlie mbali na hii ndio inaitw binadam mtakatifu
Hebu atupie picha tumuone kwanzπŸ˜€
Kuna nyingine ukiipata nakupa mdogo wangu buree
Picha yangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu mm bado young sana
 
bora tu hata ungenidanganya rafiki yangu, haaaaa🀣, mi sitaki πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
🀣🀣 mjini kila mtu ni youngπŸ˜€
 
Gily we jamaa kwanini usingeimba rege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…