umeongea kwa uchungu, anyway ngoja nisome comments 😅🙌Wanaume wenzangu msile mazao na mbegu bana sisi watoto wenu tutapanda na kula nini?
Yani sasa hivi hata kama nimekaa tu na washkaji kwa jinsi pisi zinavyoliwa najua tu hata nikioa wataliwa tu alafu wanawake wanapenda mizagamuano yani sijui na bahati mbaya mademu wangunwote wanapenda
Ila mimi ni normal tu nafanya kwa kumiss sio chakula inapelekea kuwa na feelings na pressure
Kinachoniuma ni hawa kaka zetu wanapiga miguu yote vikongwe mpaka watoto sasa sisi tule nini?
Acheni hizo bana
Unamsahau wapi Carrasco na Sharamdala na wadizhizi sifa zinawafaa sana Analyse na Half american wana vizizi vya kupata mademu
Acha kunywa pombe za kienyeji watakuja tu 😅😅😅🤣🤣🤣 sio moto
Sina bahati na mashangazi sio kuwa siyatak hayanitak😀 Nawaz hamnyw pombe ila mna ufala mwingi sana
Humu ndani kuna watu mkienda milembe mna ma file kabisa. Analyse Half american Binadamu Mtakatifu Johnnie Walker Lloyd Munroe mna ufala mwingi sana kwakweli. 🤣🤣🤣😂🤣 namba haziongopi mkuu
Muonee huruma basi 😅umeongea kwa uchungu, anyway ngoja nisome comments 😅🙌
Mbuzi wengine hula kwa huruma za mchungaji. Kamba inaweza kuwa ndefu ila kafungwa kwenye uwanja wa basketballKila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
Yani acha mkuu Inauma unakusanya genye umtokee huyu kenge moja kisa inandevu nyingi inaovertakeumeongea kwa uchungu, anyway ngoja nisome comments 😅🙌
Mafile tuliyonayo yanatosha. Binafsi huu mwaka ukiisha naokoka 😅😅Humu ndani kuna watu mkienda mileage mna ma file kabisa. Analyse Half american Binadamu Mtakatifu Johnnie Walker Lloyd Munroe mna ufala mwingi sana kwakweli. 🤣🤣🤣
Ngoja nianze kujiita Aposto labda watakuja. Story zako inabidi uandike kitabu wanafunzi wa shule za msingi wakusome😀Acha kunywa pombe za kienyeji watakuja tu 😅😅😅
Hana cha kunipa huyoMuonee huruma basi 😅
SIkuzidi mkuu alafu bado unapenda vikatuni kama mimi😂Humu ndani kuna watu mkienda mileage mna ma file kabisa. Analyse Half american Binadamu Mtakatifu Johnnie Walker Lloyd Munroe mna ufala mwingi sana kwakweli. 🤣🤣🤣
Aliyekudanganya mbinguni unahitajika nani?Mafile tuliyonayo yanatosha. Binafsi huu mwaka ukiisha naokoka 😅😅
Acha wamsome Zwangendaba na Kinjekitile Ngwale 😅😅Ngoja nianze kujiita Aposto labda watakuja. Story zako inabidi uandike kitabu wanafunzi wa shule za msingi wakusome😀
😂😂😂 We kijana wewe motoni ni VVIP harafu tatizo unapiga gongo peleka vitu simple anza kuvaaa official, wewe unavalia jinsi nusu makalio yanaonekana na shati jeupe kama mtu wa marketing mashangazi utayatoa wapi? Fuga na ndevuHumu ndani kuna watu mkienda mileage mna ma file kabisa. Analyse Half american Binadamu Mtakatifu Johnnie Walker Lloyd Munroe mna ufala mwingi sana kwakweli. 🤣🤣🤣
Kumbe amechange jina ? 😅😅Aliyekudanganya mbinguni unahitajika nani?
Nawawekea siti kule kwa shetani😀
Huyu binadamu mtakatifu ID yake ya mwanzo ilikuw inaitwa shetani mkuu . Mods wakaunganisha😀
Msisahau kuwa mko kwenye uzi wa shetani mkuu
pole sana, ila pisi bado ziko nyingi mnoYani acha mkuu Inauma unakusanya genye umtokee huyu kenge moja kisa inandevu nyingi inaovertake
Ni wa kiume[emoji23]....tunafanyaje sasa...Nibless basi mdogo wako