Msile vyote mtuachiage na sisi

hizi sifa zinawafaa sana Analyse na Half american wana vizizi vya kupata mademu
Kwakweli watupe mbinu
Sawaaa
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
Kwakweli
Atumie dk zake 2 vizuri, afu apite hivi...[emoji23]
Wewe mm cwez tumia dk 2
 
So bro akikuletea ukimwi utajisikiaje?
Assume we ni mwanaume huna tabia za kimalaya , we ni mwendo wa kulala na mkeo basi, mtu yeyote ukihisi ndivyo sivyo mchunguze tu, magonjwa ni mengi mno.
 
So bro akikuletea ukimwi utajisikiaje?
Assume we ni mwanaume huna tabia za kimalaya , we ni mwendo wa kulala na mkeo basi, mtu yeyote ukihisi ndivyo sivyo mchunguze tu, magonjwa ni mengi mno.
Kuna kipindi katika maisha inabidi uishi kwa matumaini tu kutarajia yaliyo na heri maana moyo wa mtu ni kiza kinene.

Hakuna unaloweza fanya kumzuia mtu kuchepuka akitaka kuchepuka. Ndio maana nikasema as long as hafanyi mbele yako na huna shaka kuwa anafanya lolote baya basi unaishi kwa kujipa moyo tu.

Ikitokea ukaletewa ngoma basi hayo ndio majaaliwa yako.

Itakuwa uzembe kupata maradhi ikiwa unajua anazini nje ila kama hujui ni ajali kazini.
 
Mhhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…