Naomba nitofautiane na wewe uliyeandika post hii.
Mtu anayejijua anaandika kitu ambacho hana data nacho, aende akaandike kwenye jukwaa la UTANI / UDAKU huko ndiko kunakostahili.
Watu wanaoingia katika jukwaa la siasa / uchaguzi wanategemea kupata taarifa za sahihi na sio porojo. Kuthibitisha hili angalia idadi ya watu wanaoingia katika jukwaa hili na huko udaku ni ndogo, means watu hawana muda wa kupoteza kwa porojo / tetesi / udaku
INSHORT, ANGALIA UNACHOTAKA KUANDIKA NA ANGALIA JUKWAA LINALOFANANA NALO. TUSIPOTEZEANE WAKATI WA KUSOMA VITU VISIVYO VYA KWELI.