naomba nitofautiane na wengi wetu hapa JF.
mtu anapoleta habari si lazima awe na data. hata tetesi, uvumi, umbea nk zote ni habari ili mradi zisiwe za uongo.
hata ukichunguza habari nyingi zilizoanza kutiririka tangu kura zilipopigwa hazikuja na data na baadaye ilikuja kuthibitishwa kuwa ni za kweli. kwa hiyo hata kama habari haina data inaendelea kuwa usefu unless you prove otherwise. msikatishe watu kuleta habari kwa kisingizio cha kuambatana na data au figures nk kwani hamjui zilivyowafikia. hapa siungi mkono uongo na habari za kutunga ili kuwarusha watu roho.
mwisho kumbukeni kuwa science isnt everything in life na kuwa si kila mtu ni scientist na pia kuwa si kila scientist anatumia data/figures