Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
mkuu hiyo simu yako noma picha zimetulia,poleni sana wahusika wa hapo
Duh!!! kuna mdudu gani anapita tena huko...
Mfumo kristu. TANESCO ichunguzwe.
Ni kweli wanahujumiana..huo msikiti ni wa Bakwata, waliwakaribisha Answar Sunna..kwamakubaliano kwamba wakae hapo kwa muda tu, ilipofika wakati wa kuurudisha jamaa wakagoma..issue ikapelekwa mahakamani, inasemekana hukumu ilikua itolewe kipindi kile cha moto wa kwanza, inaonekana jamaa wa Answar Suinna hawataki kuachia msikiti na wakiachia wanataka watie hasara..kuna vitoto vinatwanga karate pale!
Hata misaada iliyotolewa kusaidia Moto wa kwanza haijafika yote ...msikiti unaungua???. VIONGOZI wa msikiti waulizane....
Siku hizi ugomvi wa kugombea nyumba Za ibada ...makanisa na misikiti ..upo Sanaa
huu ni upotoshaji mkubwa hakuna msikiti unaoungua
Pengine wameshapiga hela kwa hiyo wanafuta ushahidi...
wacha uongo wewe hakuna msikiti unaoungua
Mungu atuepushe na haya majanga.
Kama sio mkono wa mtu basi kuna mguu wa mtu...si bure
Ni wao wenyewe. Acha wafu wazikane.
Kha! Kwa kuanzisha ligi nakukubali mkuu. Subiri hadi Radio/TV Imani itakapotangaza ndo uamini..
wacha uongo wewe hakuna msikiti unaoungua
Navyokwambia watu wanaswali sasa hivi kuna lundo la waandishi wa habari hapa kulikuwa na gari la zima moto limeomdoka walikuwa.wanachoma uchafu pale karibu na mlango kama hutaki basi