Msikiti wa Gaddafi, Dodoma wamshukuru Membe

Msikiti wa Gaddafi, Dodoma wamshukuru Membe

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto), kwa waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani humo jana, wakati waumini hao walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi.





Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani (kulia) akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati), kwa waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani humo jana, wakati waumini hao walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi. Kushoto ni Diwani wa Kwadelo, Alhaj Omary Kariati.​



Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza na waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati waumini hao, walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kushoto), akibadilishana mawazo na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani, wakati waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma, walipomwita jana kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA), Mkoani humo, Zidikheri Swedy Kheri.​

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto) na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani (kushoto), wakishiriki katika chakula cha usiku kilichoandaliwa na waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi.


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akiagana na waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati waumini hao walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi. Kushoto ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani.


 
DUH ??
R.B , sasa kweli wana JF, nimeanza kuamini
kwamba, baadhi ya watia NIA wana issue zao flan very very sensitive
 
Sasa huyu Sheikh Membe nae mambo ya kukaa kwenye viti misikitini kayatoa wapi?

Ukiwa Roma, Fanya kama wafanyavyo Warumi.
 
Membe ametokea jimbo lenye mwaislam wengi na ndugu zake wengi ni waislam,lkn yeye ni gogo la kikatoliki.nampenda hana UDINI.
 
Innalillah wainailayh rajiuun, huu ni msiba ndugu zangu ktmk imani Benard Membe ndani ya msikiti Dodoma akitangaza nia yakugombea uraisi, tunaelekea wapi waislam na uislam..

Waislam haya ndio masuala ya kutolea tamko, iweje asiye Muislam kukaa mbele ya Membari? Ina maana Membe anahaki ya kuufanya uislam atakavyo?
 
ni njaa na siasa chafu, znafanya wakfu kusahaulika.

sijaona umuhimu wa kwenda mskitini kupiga kampeni?!
 
Innalillah wainailayh rajiuun, huu ni msiba ndugu zangu ktmk imani Benard Membe ndani ya msikiti Dodoma akitangaza nia yakugombea uraisi, tunaelekea wapi waislam na uislam..

Waislam haya ndio masuala ya kutolea tamko, iweje asiye Muislam kukaa mbele ya Membari?? Ina maana Membe anahaki ya kuufanya uislam atakavyo?

fafanua ueleweke
 
nyie nao mnakera kila kitu iman mara uislam! mbona wakristo hawanaga hizo? jana lowasa leo membe yaani mkikaa kazi yenu ni kutafuta watu wamefanya nini kwa imani yenu? acheni ushamba! mwislam anayeijua imani vizuri huwez mkuta anakurupukia vitu vidogo kama hivyo ila nyie uchwara sasa ndo mnajidai kujuuua!!.....kajilipueni na mabomu basi
 
nyie nao mnakera kila kitu iman mara uislam! mbona wakristo hawanaga hizo? jana lowasa leo membe yaani mkikaa kazi yenu ni kutafuta watu wamefanya nini kwa imani yenu? acheni ushamba! mwislam anayeijua imani vizuri huwez mkuta anakurupukia vitu vidogo kama hivyo ila nyie uchwara sasa ndo mnajidai kujuuua!!.....kajilipueni na mabomu basi
kijana uislam sio kama dini zingine ,mifumo imewekwa na wanaadamu..uislam una taratibu zake kamili,sio dini ya kujiundia mambo,hilo swala halikubaliki hata iweje?muislam pekee ndio anyepaswa kusimama ndani ya membari tena kwa mambo yanayohusu uislam na sivinginevyo.sikubaliani na hili swala.then kama ujui ni bora kunyamaza watu watakuheshimu
 
Kwa hapa mimi siyo muislamu lakini hapa membe kachemka sana.hakupaswa kufanya huo upuuzi alioufanya,hiyo picha nimeiyona inazunguka kwenye magroup ya watssp
 
kila siku tunaimba BAKWATA ni tawi la katoliki mnatubeza na bado watakuja na waimbaji wa kwaya waje kutumbuiza ndipo muelewe pumbavuuuuu.leo mkristo anafananishwa na mtume mohamed!!!!!??? mxchyuuuuuu tyup tena anaesema upuuzi huu nae anajiita ramadhani na raisi mnaejifanya nae ni muisilamu kauchuna eehee mwenyezi mungu tusamehe tusamehe tusamehe x 100000
 
Kwa hapa mimi siyo muislamu lakini hapa membe kachemka sana.hakupaswa kufanya huo upuuzi alioufanya,hiyo picha nimeiyona inazunguka kwenye magroup ya watssp

nashangaa mtu anapandwa na jazba kwa yasiyomuhusu pamoja ndugu
 
Hili kwakweli ni kufuru kwa ndugu zetu waislamu na udhalilishwaji mkubwa wa dini za watu.kulikuwa hakuna haja ya kufika mpaka kwenye membari.wakati mwingine tuache kudhalilisha dini za wenzetu Membe hakupaswa kufanya haya aliyo yafanya wakati mwingine najiuliza huwa hana washauri wa mambo ya kisiasa?
 
Back
Top Bottom