Msikiti wa Gaddafi, Dodoma wamshukuru Membe

Msikiti wa Gaddafi, Dodoma wamshukuru Membe

Jibu ni rahisi viongozi wa dini kuacha kukumbatia na kushabikia wanasiasa,kwa maslahi yao wako tayari kuvunja kanuni na taratibu za imani, ni kwa faida ya nani?
Member ni Bernard kwenye mimbari ya msikiti wapi na wapi?
 
ImageUploadedByJamiiForums1435923949.753680.jpg huyo ni Membe enzi zake
 
Hakuna anaekatazwa kuingia msikitini, kama Muislam hujui hili basi unatakiwa urudi Madrasa ukasomeshwe tena. Wengi wenu mnasemea Uislam lakini hamna elimu nao. Badala ya kusaidia kuusambaza mnaupotosha.
 
Ache kulalamika jamani waliomualika ni masheihe kwani hawakujua kuwa hilo halikubalika ktk uisilamu bila shaka wanaujua uislamu kuliko nyie wa fb.
 
Kwani hapa kosa Ni nini au sijui fasihi.
 
Innalillah wainailayh rajiuun, huu ni msiba ndugu zangu ktmk imani Benard Membe ndani ya msikiti Dodoma akitangaza nia yakugombea uraisi, tunaelekea wapi waislam na uislam..

Waislam haya ndio masuala ya kutolea tamko, iweje asiye Muislam kukaa mbele ya Membari? Ina maana Membe anahaki ya kuufanya uislam atakavyo?

Msiba mkubwa uqht mwanaisha... ..ndo masheikh wetu hao wanafanya wajckiacho bila ya dalil ktk Qur'an tukufu wala Sunnah
 
nyie nao mnakera kila kitu iman mara uislam! mbona wakristo hawanaga hizo? jana lowasa leo membe yaani mkikaa kazi yenu ni kutafuta watu wamefanya nini kwa imani yenu? acheni ushamba! mwislam anayeijua imani vizuri huwez mkuta anakurupukia vitu vidogo kama hivyo ila nyie uchwara sasa ndo mnajidai kujuuua!!.....kajilipueni na mabomu basi

Uislamu sio ukristo mkuu.. ..kila din ina mipaka yke kwaiyo ni jukumu la kila mmoja kuheshimu mipaka ya mwenzie.. ...wasalaam
 
Mbona humshangai Lowassa kwenda msikitini.? Halafu ninyi wagalatia hivi mtu kuwa mwislamu mnaona ni dhambi?
 
Kama ni kufuru wa kwanza ni Nyerere....alivaa kibaragashia kuanzia siku baada ya uhuru mpaka mwska 1972. Na msikitini alikwenda....mbona hamsemi?
 
kijana uislam sio kama dini zingine ,mifumo imewekwa na wanaadamu..uislam una taratibu zake kamili,sio dini ya kujiundia mambo,hilo swala halikubaliki hata iweje?muislam pekee ndio anyepaswa kusimama ndani ya membari tena kwa mambo yanayohusu uislam na sivinginevyo.sikubaliani na hili swala.then kama ujui ni bora kunyamaza watu watakuheshimu

Kama hukubaliani kajilipue au kamlipue na utakua umetupunguzia mafisi na mambwa kama huyo maembe
 
Uislamu sio ukristo mkuu.. ..kila din ina mipaka yke kwaiyo ni jukumu la kila mmoja kuheshimu mipaka ya mwenzie.. ...wasalaam
wewe bahati yako kichwa chako (shingo) ingekuwa halali yangu
 
Back
Top Bottom