Chuo kikubwa duniani kiko wapi!?
Mashaallah,Ndio maana Obama ameapa kuwamaliza wapakistan kwa Drone ili mradi uislam ufutike duniani!mayor wa london kagoma kabisa kutoa kibali cha kujengwa largest mosque in the world
Chuo kikubwa duniani kiko wapi!?
Mashaallah,Ndio maana Obama ameapa kuwamaliza wapakistan kwa Drone ili mradi uislam ufutike duniani!mayor wa london kagoma kabisa kutoa kibali cha kujengwa largest mosque in the world
Anafahamu madhara yake, kule ulipo largest mosque in the world, mtoto wa kike akithubutu kupanua mdomo wanamfanya vile walivyomfanya Malala.
Nenda kapendekeze ujenzi wa chuo kikuu kikubwa kuliko vyote duniani uone kama atakataa
Kiko Misri na kina miaka zaidi ya mia nne (400 yrs !)
Hatuendi hivyo mpwa wangu mi mwenyewe RC lakini maoni yako nimeyachambu na nimeyaelewa haraka sana hata zaid yako wewe uliyeyatoa senz sana
m'meghafilika na Dunia nyie !...........bahati mbaya hata hiyo elimu haiwasaidii ! Iweje una PhD lakini unaamini mungu alikamatwa kisha akapigwa mpaka kuuawa na watu wake !
Hey! Kauliza chuo sio Pyramid.
Chuo kikubwa kuliko vyote duniani ni Indira Ghandi National Open University cha India.
Huko Misri wanaongoza tu kwa uchunguzi hilo lazima nikiri. Wamefanya uchunguzi na kugundua kuwa ni sahihi kabisa kwa mwanaume kufanya mapenzi na maiti ya mkewe ndani ya masaa 6 tangu kifo ili kufaidi mahari yake mara ya mwisho.
How pathetic!
Kwa hiyo Malala alipigwa risasi ili asisome akapata PhD ikamgaribu aamini mungu alikamatwa au?
Kiko Misri na kina miaka zaidi ya mia nne (400 yrs !)
Chaitwaje vile?
Al Azhar University Cairo Masri, founded 970 !
acha kuandika upuuzi, ficha upumbavu wako !
Kingine kiko Timbuktu !