Msikiti Dodoma waungua

Oooch Majini siyatakuwa yameungua yote au walifanikiwa kuyatoa..!
 
Utakatwa shingo wewe! Ngoja wakufahamu

..........
Kunikata sio issue...... tatizo ni watakavyojopata coz Nina ulinzi mkali usioonekana .......wataimna takibiri mpaka makoo yakauke na hawatanipataπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
wewe ni nguvu mali, ungelikuwa akilimali tungeshangaa. maana mwenyeakili hufikiria kabla ya kuzungumza, lkn mwenyenguvu.............................
 
Manachoma makanisa wenyewe kwa kugombea sadaka sio waislamu
wewe cute!sio kila mada unayoikuta humu ni lazima uichangie hata kama huna point muhimu,hili ni swala la kuhudhunisha,na mleta mada ameshasema kua ni shot ya umeme,sasa hayo unayoyanena yametoka wap?!!hili jukwaa la watu wenye hekima na utashi uliokomaa,ndio maana kumetenganishwa majukwaa,kua makini sana,usiropoke hovyo,kama huna cha kuchangia basi soma na upite kimya kimya.
 

Wakristo hao ndo wamechoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…