Msikilizeni Msukuma Star TV ana historia ya kusikitisha sana

Musukuma ni shujaa wa kuigwa mimi namufahamu vizur sana ni tapeli lakin ni mutafutaji xana
 
Kwanini serikali yetu isiruhusu matumizi ya bangi na mirungi, msukuma ni mtu wa watu msema ukweli, niliwahi kukuta naye miaka ya nyuma ni mtu mwenye kusema anachofikiri.
 
Kwakweli sijaamini masikio yangu.Aliyoyaeleza bila shaka yataandikwa magazetini.
Kama anayosema ni kweli,basi historia ya maisha yake unaweza kutengeza movie na ikauza sana.
Msikilizeni.
Japo elimu yake ni darasa la saba, sasa ni Ph.D holder, ni Dr!.
Nimemsikiliza Dr Kasheku Musukuma kupitia hii video nimejifunza mengi sana.

1. Kumbe ukiwa na PhD unapata visa ya kuzunguka duniani kote. Na usomi wangu wote sikuwahi sikia hili.

2.kumbe honoris causa inakupa fursa kubwa kuliko PhD ya kukaa darasani

3. Nimejifunza waafrika wengi tuna haiba ya kuvichukia vitu ambavyo tumeshindwa kuvipata. Kupitia video hii Dr. Musukuma ameeleza wazi wazi furaha aliyonayo baada ya yeye sasa kuwa na PhD ambapo awali alionesha chuki za wazi kwa wasomi

Mwisho katuambia tuache wivu, yeye ni next level now, hivyo tujitume sana kukipata alichopata.View attachment 2036688
Mkuu Lusungo , kwanza asante kwa hii, kiukweli huyu jamaa ni habari nyingine!, mimi baada ya kuangalia zile two series za makala kuhusu historia ya maisha yake, niliwahi kusema kitu kumhusu mtu huyu, na kila nikimsikiliza hoja zake, japo sometimes ana hoja za msingi sana, lakini huyu jamaa ni issue!. GEITA: Msukuma amshusha cheo mkuu wa shule kwa kukataa Magufuli club kufanyia mahafali shuleni!

Hata niliposema hivi kutuhusu sisi Watanzania, Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
Nikimsikiliza mtu kama huyu na baadhi ya hoja zake, kiukweli kabisa, I was right, hili bandiko lina msadifu!.

P
 
Back
Top Bottom