Very charismatic! Jamaa kama hawa wanaweza wakakupa mori wa kimasai na kujikuta unaingia mtaani kubalishisha mambo. Apunguze tu mahaba kwa Magu. Kosa kubwa ya Magu ni kuchukia upinzani wakati anajua manufaa yao kwa jamii. Bila wapinzani kama Kafulila na Zitto, asingekuwa na nafasi nzuri ya kushughulikia suala la Escrow/IPTL.