Msikilize Prof PLO Lumumba katika Fearless Summit 2017.

Oh!!!
nimemsikiliza kwa makini kawazungumzia zaidi magufuli, Uhuru, na Museven, kasisitiza kagame agombee tu tena
 
Very charismatic! Jamaa kama hawa wanaweza wakakupa mori wa kimasai na kujikuta unaingia mtaani kubalishisha mambo. Apunguze tu mahaba kwa Magu. Kosa kubwa ya Magu ni kuchukia upinzani wakati anajua manufaa yao kwa jamii. Bila wapinzani kama Kafulila na Zitto, asingekuwa na nafasi nzuri ya kushughulikia suala la Escrow/IPTL.
 
PLO anakosea sana kushabikia kitu asichokijua...ji dhahili kabisa PLO hamjui Magu
Very charismatic! Jamaa kama hawa wanaweza wakakupa mori wa kimasai na kujikuta unaingia mtaani kubalishisha mambo. Apunguze tu mahaba kwa Magu. Kosa kubwa ya Magu ni kuchukia upinzani wakati anajua manufaa yao kwa jamii. Bila wapinzani kama Kafulila na Zitto, asingekuwa na nafasi nzuri ya kushughulikia suala la Escrow/IPTL.
 
Watu wanaojiita maprof wanadhani kila watakachoongea kitakuwa sahihi hata kama ni uongo...maprof hawa hawa ndio wezi, wazandiki, roho mbaya hadi wengine ni wachawi kwa vitendo vyao

Maprof wapi awa njaaa tupu wanashinda wanakariri ma vitabu ya Wazungu huyo professor anamchango gani katika taifa anajiita professor hawezi kufunga hata meza ya TV
 
Maprof wapi awa njaaa tupu wanashinda wanakariri ma vitabu ya Wazungu huyo professor anamchango gani katika taifa anajiita professor hawezi kufunga hata meza ya TV
Hahaaha wakati nikiwa chuo nilikuwa najiuliza sana wale maprof wanatofauti gani na mtu wa kawaida mwenye degree yake, maana sionagi cha ziada....maprof wa bongo bwana
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom