vp unatutajia walopokaji a.k.a premature, lema, mcgwa, sugu hawa nao wanawakilisha wananch? Sion wakisemea matatizo ya wananchi zaid ya kuropoka. Unauliza ccm imefanya nin? Mkubwa kichiz hata hujui! Mburula wewe. Sahz unaandika jf bila ccm ungejua kuandika wewe? Ndo sbb hamkubalik, et toka uhuru serikali haijafanya k2!
Huwa sisikilizi huu upumbavu. Lakini leo nimetest zali, aisee kama ndo "think tank za CCM" zinachohubiri ni hatari sana!!!! Hotuba yote ni CDM tuuuuuuu, hajaeleza CCM kwa miaka 50+ ilopita imefanya nini na kwanini ye amekuja na VX v8 wakati wa kina mama wa makambako wameahidiwa BAJAJ ya kupeleka mama mja mzito!!!!! Aiseee M4C tuna kazi kubwa sana!!!!!
Vp unatutajia walopokaji a.k.a premature, lema, mcgwa, sugu hawa nao wanawakilisha wananch? Sion wakisemea matatizo ya wananchi zaid ya kuropoka. Unauliza CCM imefanya nin? Mkubwa kichiz hata hujui! Mburula wewe. Sahz unaandika jf bila ccm ungejua kuandika wewe? Ndo sbb hamkubalik, et toka uhuru serikali haijafanya k2!
Hatuhangaiki kulipia gharama za matangazo kwenye media, tunawategemea maamuma kama Nape kututangaza