Msikilize Mizengo Kayanza Peter Pinda, Anasema Nini Kumhusu Julliet Kairuki?!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
52,684
119,320
Wanabodi,

Tangu huyu mama ametumbuliwa jana, kumekuwa na uwongo mwingi kwenye mitandao, haswa kuhusu jinsi alivyoipata hiyo kazi ya Ukurugenzi Mkuu wa TIC!.

Naomba usikilize from the horses mouth, jinsi Julliet Kairuka alivyo patikana!, na jinsi alivyompongeza kwa kile alichokifanya pale TIC.

Paskali
 
Ukisema wanasema unampinga Rais, ngoja ninyamaze!
 
okey! shida ni kuwa sasa aliendeleaje kufanya kazi bila kukubaliana malipo ya mshahara! kwa sababu it means alikuwa hajachukua mkataba bado. how comes somebody can work without a contract. itaelezwa vip shida ikitokea yoyote
 
Tatizo letu watanzania ni moja. Sisi ni wazuri sana kwenye analysis baada ya tukio lakini ni wabovu sana kwenye analysis ili kuwa proactive.

Kwa sasa kila mmoja anajifanya anafahamu vizuri hili suala la huyu dada!

Badala ya kuangalia mbele, tunabweteka kujadili masuala ambayo hayawezi kubadilika.

Rais hawezi kubadilisha tena maamuzi yake.

She's gone and finished.

Haya mengine ni kufurahisha genge tu.
 
okey! shida ni kuwa sasa aliendeleaje kufanya kazi bila kukubaliana malipo ya mshahara! kwa sababu it means alikuwa hajachukua mkataba bado. how comes somebody can work without a contract. itaelezwa vip shida ikitokea yoyote
Alikuwa anatimiza wajibu wake.the question ni uhadirifu wake.katumbuliwa kwa sababu za uhadirifu wake. Tukumbuke hawa Viettel Pinda inasemekana ana mkono wake pale.So in lazima amsifie Huyo dada ili kuonyesha kuwa ni clean deal. Mayalla punguza hisia za kimapenzi kwa huyu Dada.ameshatumbuliwa hakuna namna
 
Tatizo letu watanzania ni moja. Sisi ni wazuri sana kwenye analysis baada ya tukio lakini ni wabovu sana kwenye analysis ili kuwa proactive.

Kwa sasa kina mmoja anajifanya anafahamu hili suala la huyu dada!

Badala ya kuangalia mbele, tunabweteka kujadili masuala ambayo hayawezi kubadilika.

She's gone and finished.

Haya mengine ni kufurahisha genge tu.
Mkuu uko wapi uhuru wa kutoa maoni ambao na wewe pia unaupigania,ni vizuri pia tuheshimu maoni ya watanzania wenzetu.
 
mimi naona kwa mtazamo wangu ni vyema Mh Rais Akawa makini na wanaompa taatifa kabla ya kutumbua majipu.

Maana hapa naona dalili za fitina, maana kama kweli huyu binti Alikuwa miaka 3 hachukui mshahara mbona hawakusema tangu utawala wa Mzee Jakaya?

Hapa kuna kila dalili ya fitina, majungu, na uzandiki, wa watu kwa Mh Rais. Juu ya wenzao.

Hawa hawa wanaopeleka maneno kwa Mh Rais, Angeanza nao kuwatumbua, maana kama walinyamaza kwa miaka 3 leo ndiyo wanakuja kusema basi wao ndiyo jipu kubwa zaidi.

Mh Rais Anza naao hao waliokuwa katika utawala wa Mzee Jakaya, na wakaona madudu na kunyamaza. Wao ndiyo chanzo cha matatizo yote haya.

Ina maana Angetokea kiongozi tofauti na wewe, wangenyamaza. Ila wanakuogopa wewe kwa sababu ni Mkali!
 
ni uzalendo uliotukuka
hapana uzalendo na taratibu za mikataba ni vitu tofauti. unaona sasa kwa kwenda kinyume na utaratibu issue hii inavyokuwa complicated. atalipwaje na kwa kupitia mkataba gani. maana hawezi kulipwa haki zake from nowhere. very very complicated. au alipwe kwa vigezo vya uzalendo tu. haiwezekani. tatizo hili yeye mwwnyewe amebugi kabisa. tunamuonea huruma yes lakini yeye mwenyewe ndio kachemsha
 
Teuzi za Rais hazizihojiwi , huwezi kuhoji kwa nini kateua au kafukuza , ndio maana aliwapa tahadhari wasishangilie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom