Msikilize Lema Upate Mshangao Jinsi Nchi Inavyoendeshwa

Aseeee, ntamalizia kesho kusikiliza ila ndivyo hivyo nchi imefunguliwa so mjeshi, bwana hakimu nk wote wanajua wakifanya ukatili ndiyo wanapanda cheo na BiM kaamua kuwapa wababe wenu nafasi ngumu kwa ajili ya maamuzi magumu.

Vumilieni tu na endeleeni kunywa mtori ..... zipo chini.
 
Hii nchi inatia aibu sana , nadhani Uteuzi wa Katili Kingai na hii nyongeza nzito ya mishahara ndio kaburi la Mama kisiasa
 
Ukiwasikiliza hawa jamaa wanapretend kuwa wise mno.
 
Back
Top Bottom