Nimeingia u tube nimekuta kuna askari anaongea na press kuwa hao watu walivaa sare za polisi lakini ni majambazi tu na hata pingu walizokuwa nazo ni fake. Ukiingia utagundua hata huyo askari hakuwa anajua anachokiongea mpaka pale alipoanza kusoma aliyoandikiwa. Mimi najiuliza enzi za mwalimu watu walikuwa hawajui kusoma na kuandika mbona mwalimu alikuwa anakuwa na ka karatasi kadogo tu halafu anakatumia kuongea saa nzima? Bashite at work. Siro naye kaja na ya Ben eti chama chake nacho kitoe ushirikiano. Mtu amepotea halafu unajibu hivyo. May be we should start private investigation halafu kwa sasa watoke nje sababu wanaweza kuchukua forensic kuliko hawa wetu wanaosubiri kuambiwa ilikuwa ilikuwa basi. Yale ma bom yalikuwa na DNA sema hatuna bank bado ya hizo DNA bongo.Inakuwaje hadi hii leo Magufuli, Waziri wa Sheria na Jaji Mkuu hawajakemea huu mlipuko wa hii ofisi ya hawa Wanasheria? Hivi ingekuwa imelipuliwa ofisi ya CCM jijini hawa watu wangekaa kimya kwa muda wote huu? KULIKONI!!?
Yaani jengo liungue Raisi akajionee! Ni jengo la ikulu nini. What is so special with that piece of shit?Ukisema kwamba wao ndio wahusika wakuu wa hilo tukio wanakuwa wakali..
Ndio maana juzi jtatu alivyoenda Makao Makuu ya PCCB niliuliza yeye kama Kiongozi Mkuu wa Nchi kwanini hakupita pale ofisi Za IMMMA kujionea yaliyojiri..
Roho mbaya iliyochanganyika na ukatili.
Acha uongo ww,kwa macho yangu mawili nilimuona Mbowe akikemea mauaji ya Kibiti so,acha kupotoshaMbona yeye na wenzake wa upinzani haswa viongozi wa Chadema..hata yule mwenzake patina wake.. hawakukemea ya Kibiti na hawakemei mengine mengi!?
Hajazungumzia wanasiasa ktk vyama bali viongozi waandamizi wa serikali. Ukimya wao unamaanisha au unatoa picha gani ktk jamii?Mbona yeye na wenzake wa upinzani haswa viongozi wa Chadema..hata yule mwenzake patina wake.. hawakukemea ya Kibiti na hawakemei mengine mengi!?
Katika somo la habari, ukiacha mambo bila kuyatolea maelezo, unatengeneza ombwe la habari.Inakuwaje hadi hii leo Magufuli, Waziri wa Sheria na Jaji Mkuu hawajakemea huu mlipuko wa hii ofisi ya hawa Wanasheria? Hivi ingekuwa imelipuliwa ofisi ya CCM jijini hawa watu wangekaa kimya kwa muda wote huu? KULIKONI!!?
Katika somo la habari,ukiacha mambo bilakuyatolea maelezo,unatengeneza ombwe la habari.
Ukitengeneza ombwe la habari, habari ina tabia ya kukataa ombwe, zitajiweka habari zozote, zichukue sehemu ambapo habari imekosekana.
Kwa msingi huo, ni rahisi sana kwa watu kusema serikali haijalaani mabomu haya kwa sababu imeyapanga yenyewe.
Serikali kutokemea ugaidi huu hakusaidii kutupa imani kwamba haijahusika na hata kama kauli hiyo haitakuwa sahihi, itaaminika zaidi kwa kuwa serikali haijakemea ugaidi huu.
Ndiyo maana ni muhimu sana kuweka wazi msimamo wa serikali kuhusu mambo haya.
Wwatu wanasema wameona watu waliovaa sare za polisi wamelipua, hivi polisi hata kukanusha wamekanusha?Naam Mkuu kimya chao ni ushahidi tosha kuhusu mhusika aliyelipua hiyo ofisi pale Upanga. Wangeweza kuua watu wengi maana yale ni makazi ya raia pia.
Pigia mstari,maagizo kutoka juuInakuwaje hadi hii leo Magufuli, Waziri wa Sheria na Jaji Mkuu hawajakemea huu mlipuko wa hii ofisi ya hawa Wanasheria? Hivi ingekuwa imelipuliwa ofisi ya CCM jijini hawa watu wangekaa kimya kwa muda wote huu? KULIKONI!!?
Acha uongo ww,kwa macho yangu mawili nilimuona Mbowe akikemea mauaji ya Kibiti so,acha kupotosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajazungumzia wanasiasa ktk vyama bali viongozi waandamizi wa serikali. Ukimya wao unamaanisha au unatoa picha gani ktk jamii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipue Lissu mwenyewe halafu nani alaani tena? Tumieni bongo zenu. Mwambieni Fatma amlaumu Lissu na si mwingine.Inakuwaje hadi hii leo Magufuli, Waziri wa Sheria na Jaji Mkuu hawajakemea huu mlipuko wa hii ofisi ya hawa Wanasheria? Hivi ingekuwa imelipuliwa ofisi ya CCM jijini hawa watu wangekaa kimya kwa muda wote huu? KULIKONI!!?