Aibu unaona wewe,ndio hivyo sasa kaeleza ukweli na huo ndio uhalisia..
Kinachokusumbua hapa ni chuki baada ya kuona Rais Samia kavunja mifupa iliyowashinda wengi..
Hata Lukuvi Leo Amesema toka amekuwa Mbunge kwa mara ya kwanza jimboni kwake watapata Maji zaidi bili.81 zimemwagwa haijawahi tokea..
Hali iko hivyo Nchi nzima na kwenye sekta zote..