Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,146
- 9,855
Zakuambia changanya na za kwako.
je kwanini ni kipindi hiki za lalasalama.
CCM wana wasiwasi kuwa wananchi watasusuia kupiga kura,
Na muona baba aminata akiilaumu chadema kuwa ni wakaidi na wasio kuwa na adabu.
Kadri upepo unavyopuliza ndivyo uchi wa kuku unavyoonekana.
View: https://www.youtube.com/watch?v=aQDnws2L5YA