ni kweli maana aliaga anaenda kuoa akarudi na mimba!Haifai kwa mtu kuwa na njia mbili tofauti
Njia mbili zilimshinda fisi
Bazazi
Kumbuka ni mtoto wa miaka mitatu (03)
Viboko kweli vinahusika.
Hodi na kuropoka sijajua
Lakini nadhani umri unahusika
Bazazi
Unamaanisha kipi cha tofauti na keshamuona mamaake na kaona tofauti!!akitaka kuona hiyo tofauti je utamwonyesha?
Unamaanisha kipi cha tofauti na keshamuona mamaake na kaona tofauti!!
mtoto wa miaka mitatu kumchapa nikumfanya awe na nidhamu ya woga haelewi chochote. hapo yupo kwenye ahaaa moment kila kitu ni kipya anaokota kila kitu unachofanya mzazi au anachokiona ndo anaiga.hata akitukana kazma atakuwa amesikia mahali na hajui kama ni baya ni
kumwelekeza kuwa hiki kizuri na hiki kibaya. na usichoke kumkumbusha maana ukimwambia leo kesho keshasahau anarudia tena hajaweza kuifadhi kumbukumbu pia
btn mi niliulizwa mama na wewe unavaa diepper aliona pad.nikamwambia ni chupi sio diepper
Unachosema inaweza kuwa kweli, lakini akili ya mtoto usiidharau pia, watoto wana akili sana tena miaka 3?
Unaweza kuwa unamwambia aache kitu katika hali ya kawaida tu hasikii, na kama hajachapwa anadhani madhara ya kufanya kile kitu ni madogo tu na ataendelea, mi wa kwangu fimbo zinategemea kosa alilofanya, kama ni dogo naachana naye.
Unamchapa kisha mnaongea, isije akaona kama zile fimbo ni chuki bali ni fundisho tu.
JF na hasa MMU Hamyambo?Msikie mtoto huyu wa kiume wa miaka mitatu tu
Mtoto akimweleza mama yake;
Baada ya kuingia chumbani kwa mamaye
Na kukumkuta akiwa uchi wa mnyama.
Mtoto alimwambia mama
"Mama kumbe huna dudu;
Una mattak.o tu".
Kwanini uwe hivyo!
Mwana MMu mwanao aliwahi kusema kitu cha kituko?
Tufurahiye mambo ya watoto nyumbani kwetu
Tukiwa na watoto wetu wadogo
Malaika wa Mungu.
Bazazi!
MMH!!
kale ka tabia ka kuoga na watoto bwana, kabaya sana!!
siku moja mi niko zangu home, basi brother wangu akawa yuko bafuni anaoga na dogo wa miaka miwili wa kiume lakini!!
basi baada ya kuoga, dogo si akatoka na kitu kichwani!!!! (baada ya kuona dushelele la bro!) akaja direct kwa mama na kumwambia kwa nguvu mbele za watu... '' mamaaaa, nimeona xx ana SAMAKI mkubwa ananing'nia''!!!!
aisee kila mtu alichukua lake kwa muda!!
my take! sishauri wazazi kulala na watoto chumba kimoja ama kuoga nao, ili mradi tu akishaanza kujitambua, asepeshwe tu kwa chumba chake private.!!