Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,213
- 48,767
No mtu wa comedy ya feel dini.Tito ni miongoni kwa watu wanaoishi kijanja kijanja mjini,nashangaa muda wa kutafuta pesa za kufanya promotion ya mambo hayo huwa anatoa wapi.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
CCM ndiye mfadhili mkuu wa Nabii tito.Pesa za kuzunguka huwa anatoa wapi? Tuanzie hapo
Anawaambia watu wasifirweInaoneshq nini hiyo video ??