GE2025 Msigwa: Vyombo vya Habari vitoe nafasi kwa wagombea bila upendeleo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,160
Reaction score
11,228
Kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amewasihi waandishi wa habari kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi kwa kuwapa nafasi wagombea wote bila upendeleo.

Aidha, amesema kuwa wameunda kamati maalum inayoshirikisha serikali, Jeshi la Polisi, vyombo vya habari, Idara ya Habari–MAELEZO na Jukwaa la Wahariri, ambayo itakuwa inakutana kila wiki kwa lengo la kuhakikisha upatikanaji wa taarifa sahihi kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

View attachment 3461189
Msigwa, wagombea gani?
 
Ukute wao wanatuona side wajinga maana "MJINGA HUMUONA MWENYE AKILI HAMNAZO"
 
Kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amewasihi waandishi wa habari kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi kwa kuwapa nafasi wagombea wote bila upendeleo.

Aidha, amesema kuwa wameunda kamati maalum inayoshirikisha serikali, Jeshi la Polisi, vyombo vya habari, Idara ya Habari–MAELEZO na Jukwaa la Wahariri, ambayo itakuwa inakutana kila wiki kwa lengo la kuhakikisha upatikanaji wa taarifa sahihi kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

View attachment 3461189
Wagombea gani kwa mfano?? Hivi this time kuna kampeni? Maana naona kuna chama kime changanyikiwa hadi wana piga vijembe wale ambao wana jielewa na hawako kwenye uchaguzi. Ati mara mpira kwapani, mara tone tone wakati hicho chama kina jua kwanini hao wanao jielewa hawapo. Nyie endeleeni na mlio wahonga magari.
 
Hivi Tanzania hatuwezi kuanzisha utalii wa unafiki!?? Yani wageni wake waone tulivyo wanafiki!?? Kuna haja ya kupanua wigo wa mapato Hasa hili eneo la unafiki
 
Back
Top Bottom