Msigwa: Tanzania inamiliki 15% mradi wa Crude Oil pipeline kutoka Uganda na tayari tumetoa bilioni 995 kumiliki hisa

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Akizungumza na vyombo vya habari leo Januari 20, 2026 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali ya Tanzania kupitia TPDC inamiliki asilimia 15% katika Mradi wa Crude oil pipeline wenye ubia na TotalEnergies (62%), Uganda National Oil Company (15%), and CNOOC kampuni ya China(8%).

Msigwa amesema kuwa licha ya kupata faida kiuchumi kupitia mrradi wa Crude Oil Pipeline tayari Vijana wa Tanzania zaidi ya 9,100 wamepata ajira

usikute mmiliki wa hizo hisa persia ila bilioni 900 imetoa serikali, pure evil ...
 
Akizungumza na vyombo vya habari leo Januari 20, 2026 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali ya Tanzania kupitia TPDC inamiliki asilimia 15% katika Mradi wa Crude oil pipeline wenye ubia na TotalEnergies (62%), Uganda National Oil Company (15%), and CNOOC kampuni ya China(8%).

Msigwa amesema kuwa licha ya kupata faida kiuchumi kupitia mrradi wa Crude Oil Pipeline tayari Vijana wa Tanzania zaidi ya 9,100 wamepata ajira

Eneo la ardhi tuliyotoa kwa ajili ya huo mradi lina thamani ya shilling ngapi? Hilo eneo halitakuwa available to us for other uses for a long, long time!
 
Akizungumza na vyombo vya habari leo Januari 20, 2026 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali ya Tanzania kupitia TPDC inamiliki asilimia 15% katika Mradi wa Crude oil pipeline wenye ubia na TotalEnergies (62%), Uganda National Oil Company (15%), and CNOOC kampuni ya China(8%).

Msigwa amesema kuwa licha ya kupata faida kiuchumi kupitia mrradi wa Crude Oil Pipeline tayari Vijana wa Tanzania zaidi ya 9,100 wamepata ajira

Mapambio yanashika Kasi sana
 
Back
Top Bottom