Black Butterfly
Senior Member
- Aug 31, 2022
- 131
- 378
Si mlisema bado ana kadi hajairudisha? Mnashangaa nini Sasa?Kwamba yeye ni mwana chama wa chama gani?
Kuna zile speech zake bungeni Aki ishushua CCM anasema YOU GUYS YOUR TIREDWakuu ! Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza huyu aliyekuwa Mwanachama wa Chadema na Mwenyekiti mstaafu wa Chadema kanda ya Nyasa, ukimuangalia tangu amehamia Chama cha Mapinduzi inaonekana amekuwa ni mtu ambaye anaonekana amepoteza kabisa umakini na inaonekana amepatwa na tatizo la kisaikolojia yaani amekuwa na msongo mkali sana wa mawazo unaompelekea kusahau sahau.
Hili ni funzo kwetu binadamu kwenye maisha yetu ya kila siku. Tamaa na usaliti ni vitu vinavyotesa sana tujifunze kupitia huyu Mwanasiasa anayechuja na kupoteza ile siha aliyoijenga kipindi yupo Chadema tena kwenye mazingira magumu sana na ameenda kuipoteza kwa wepesi sana yaani kama vile Barafu inavyoyeyuka kwenye Jua au joto.
Video hizi zinaonyesha hiyo hali.
Hazichukui MB nyingi.
View attachment 3090126
Wala Msigwa asilaumiwe kuwa mpinzani Tanzania unapaswa kuwa na Roho ngumu sana na ikiwezekana uwe na vyanzo vya siri vya kukuingia mapato la sivyo unakufa njaa ndiyo maana hata CVID 19 mimi siwalaumu kabisa na wakimaliza mda wao wa ubunge wakitaka kurudi waruhusiwe kwani pamoja walifanya makosa lakini hawakutoka nje ya misingi.Wakuu ! Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza huyu aliyekuwa Mwanachama wa Chadema na Mwenyekiti mstaafu wa Chadema kanda ya Nyasa, ukimuangalia tangu amehamia Chama cha Mapinduzi inaonekana amekuwa ni mtu ambaye anaonekana amepoteza kabisa umakini na inaonekana amepatwa na tatizo la kisaikolojia yaani amekuwa na msongo mkali sana wa mawazo unaompelekea kusahau sahau.
Hili ni funzo kwetu binadamu kwenye maisha yetu ya kila siku. Tamaa na usaliti ni vitu vinavyotesa sana tujifunze kupitia huyu Mwanasiasa anayechuja na kupoteza ile siha aliyoijenga kipindi yupo Chadema tena kwenye mazingira magumu sana na ameenda kuipoteza kwa wepesi sana yaani kama vile Barafu inavyoyeyuka kwenye Jua au joto.
Video hizi zinaonyesha hiyo hali.
Hazichukui MB nyingi.
View attachment 3090126
Wakati hapo kasema hadharani yeye mwenyewe ukimkata damu yake ni Chadema? 🤣🤣🤣Kikubwa ni kwamba hutosikia Msigwa katekwa wala kuteswa na wasiojulikana.