Msigwa naye kuunga mkono juhudi?

Ndugu zangu,

Kitendo cha msigwa kuikariri ilani ya CCM inatia shaka sana.Siku za karibuni Mbunge wa Iringa ndugu Peter Msigwa amekuwa akiambatana na ilani ya CCM mithili ya Padri na Biblia au Sheikh na Quran halia ambayo inaleta hofu miongoni mwa makada wa Chadema mkoani humo.

Je,nayeye kufuata nyayo za akina Nassari na Lissu kuunga mkono juhudi kwa mtindo wake?

Ni dhahiri Msigwa anaowaonesha wana-Iringa jinsi anavyotekeleza ilani ya CCM kivitendo.

Haya.View attachment 1143794
Kweli Bashite ana user names nyingi hapa JF. Lumumba Stars inacheza leo, umemwachia nani kamati ya kufungwa?
 
Wakina msigwa a.k.a wabishi wa Bungeni wamechoka kuwa upande wa Losers mbaya zaidi CCM ina mkakati mzito juu wabunge wa kambi ya upinzani ambao ni vihere here kutorudi bungeni.
 
Ukitaka kuikosoa nyumba iliyojengwa vibaya yapaswa uingie ndani kuiona Kama kweli ni mbaya, Msigwa anasoma ilani ya CCM ili kupata kilichoahidiwa na kukikumbusha au kuikosoa CCM kwa kutotekeleza walichokiahidi,

Hongela Msigwa, unajua, Kama huna ushahidi usikosoe, unasoma ahadi zao ili kukosoa
Kwahiyo wanaotembea na Biblia/Quran ni wakosoaji?kamanda kuwa makini?
 
Back
Top Bottom