Msigwa: Kuna baadhi ya watu wanapotosha bandari imeuzwa, haijauzwa ipo chini ya serikali

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na vyombo vya habari leo Januari 20, 2026 amesema kuwa Rais Samia alifanya maamuzi makini ya kuingia mkataba wa upangishaji na uendeshwaji wa Bandari ya Dar es Salaam na DP world pamoja na ADAN akidai wanaosema imeuzwa wanapotosha kwani ipo chini ya serikali

Zamwamwa la responsible journalism.

Chawa of the highest order.
 
Asiwafanye Watanganyika ni punguani! Ipo chini ya Serikali ya wapi? ya Dubai. Makusanyo yote yanafanywa na hao waarabu, Serikali inachopata ni kodi pekee, faida yote inaporwa na hao waarabu, wakati ujenzi wote wa bandari umefanywa na watanganyika. Hiyo iliwahi kutokea wapi?
 
Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na vyombo vya habari leo Januari 20, 2026 amesema kuwa Rais Samia alifanya maamuzi makini ya kuingia mkataba wa upangishaji na uendeshwaji wa Bandari ya Dar es Salaam na DP world pamoja na ADAN akidai wanaosema imeuzwa wanapotosha kwani ipo chini ya serikali

Imepangishwa kwa miaka mingapi?
 
Asiwafanye Watanganyika ni punguani! Ipo chini ya Serikali ya wapi? ya Dubai. Makusanyo yote yanafanywa na hao waarabu, Serikali inachopata ni kodi pekee, faida yote inaporwa na hao waarabu, wakati ujenzi wote wa bandari umefanywa na watanganyika. Hiyo iliwahi kutokea wapi?
Biashara ya TICTS na Bandari ilikuwa na tofauti gani na hii ya DP World na Bandari?.

Huwezi kukwepa mgawanyo wa faida unapoamua kukodisha mali yako.
 
Back
Top Bottom