Ovyooooo.....!Upo chini ya BAVICHA
Msigwa mbunge wa iringa mjini asalimu amri baada ya kushindwa kupambana na kuporomosha matusi dhidi ya mwenge. Baada ya jana jioni kupokea JK na kutubu zambi zake . Msigwa akiri CCM chama kubwa na ni hatari baada ya kuzishusha bendera za chama chake CHADEMA.View attachment 116645
Msigwa naye ni Mchungaji lakini anaporomosha matusi!!! Sijui ukishajiunga na CHADEMA unapelekwa kozi ya kutukana?
kupigiia mwenge saluti ni kuitumikia ibada ya sanamu(askari unaemcha mungu stuka)
Mwenge ni wizi
Msigwa naye ni Mchungaji lakini anaporomosha matusi!!! Sijui ukishajiunga na CHADEMA unapelekwa kozi ya kutukana?
Msigwa naye ni Mchungaji lakini anaporomosha matusi!!! Sijui ukishajiunga na CHADEMA unapelekwa kozi ya kutukana?
Msigwa naye ni Mchungaji lakini anaporomosha matusi!!! Sijui ukishajiunga na CHADEMA unapelekwa kozi ya kutukana?
CDM wakishinda uchaguzi Mwenge unawekwa kwenye jumba la makumbusho kumuenzi Nyerere na Nyirenda FULL STOP!!!