Msigwa kukamatwa baada ya sherehe ya mwenge

kwa kukamatwa kamuhulize kamanda Lema alivyokamatwa na mkuu wa Mkoa aliyeenda kwenye Sendof chuo cha Uasibu na kesi ikapelekwa mahakamani mwisho wa siku Lema ameachiwa huru. Kama anataka kuthubutu kumkamata basi ajaribu aone
 
Kanjanja wa JF ,thread hata haileweki kichwa wala miguu kweli ccm ni janga la TZ

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kweli mkuu, ccm ni janga la elimu na maisha yetu.
 
Acheni uzushi,msigwa kitu gani??Iringa hata jina lake hawataki kuliskia.
 
msigwa anataka kwenda mahabusu ili kesho aandikwe gazetini.
 
Habari zilizotufikia
sasa hivi mkuu wa mkoa Iringa ,anashinikiza kukamatwa kwa mh. Msigwa eti
kwa sababu alihamasisha watu wasichangie mwenge na kosa la kupandisha
bendera za CHADEMA wakati huu, ingawa CCM waliweka bendera nyingi
mjini.
chadema wao vurugu kama hizo ndiyo hoja kwao hufanya vurugu mpaka nyumbani kwao kwa wake zao.
 
Aaaah kumbe!!

Ndo maana yale ma pro-ccm a.k.a kubwa jingaz huwa yanapaita huko kwa mh.msigwa ni kaskazini!

Nafikiri hii itakuwa ni kwa mujibu wa atlas za enzi ya mwl. laiti kama ingelikuwa atlas za sasa za kata ningalijua msigwa anatokea wapi na wa kabila gani!!!

mhh! Siamini macho na masikio yangu.
Kwani yale malori na mafuso wanayoyatumia maccm kusomba misukule bado Madreva a wake wapo kwenye mgomo?

Nadhani magufuri atakuwa sasa ameichoka kazi.anamletea mkulu longolongo.
ona sasa anavyohutubia chekechea na wale wamendea misosi kwenye makusanyiko ya watu (i.e machiz).
 
Waliokesha na mwenge wanasema ni ngono tu kwa vilaza wa CCM
 
Habari zilizotufikia sasa hivi mkuu wa mkoa Iringa ,anashinikiza kukamatwa kwa mh. Msigwa eti kwa sababu alihamasisha watu wasichangie mwenge na kosa la kupandisha bendera za CHADEMA wakati huu, ingawa CCM waliweka bendera nyingi mjini.

kwani kuchangia mwenge ni lazima siku hizi?
 

nimecheka kweli maneno hayo powa kamanda omusita
 
Last edited by a moderator:
uyu RC ni janga kwani ni kosa CDM kupandisa Bendera ?lo.........adi uruma !!!!!!???!!
 
Habari zilizotufikia sasa hivi mkuu wa mkoa Iringa ,anashinikiza kukamatwa kwa mh. Msigwa eti kwa sababu alihamasisha watu wasichangie mwenge na kosa la kupandisha bendera za CHADEMA wakati huu, ingawa CCM waliweka bendera nyingi mjini.

Haka kamradi ka CCM haka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…