Msigwa/Filikunjombe, itikadi kando - tuungane kujenga nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msigwa/Filikunjombe, itikadi kando - tuungane kujenga nchi

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Dec 21, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG]
  Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mhungaji Peter Msigwa(Chadema) picha ya kushoto akiteta jambo na mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe (CCM) kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa

  [​IMG] [​IMG]

  Wajumbe mbalimbali kwenye kikao cha Mkoa Iringa.

  Swali:
  Mkoa mpya wa Njombe bado ni mkoa mteule tu ambao haujaanza kuwa mkoa kamili unaojitegemea kwa sababu ya viongozi waandamizi kutoteuliwa?
   
Loading...