Msigwa Atema Cheche Bungeni, Aishangaa Serikali

Msigwa Atema Cheche Bungeni, Aishangaa Serikali

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Mbunge wa Iringa Mjini kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, Mch Peter Msigwa amesema Serikali imekuwa ikifanya mipango ambayo haipo katika mpango wa miaka mitano ambayo imekuwa ikiligharimu Taifa. Msigwa amewasha moto huo wakati akichangia katika wizara ya fedha na mipango.

Ametema cheche au amewasha moto?!

Waangalie wasije wakaunguza bunge letu waheshimiwa hawa!
 
Nashindwa kuamua hadi leo Msigwa na Lissu nani ngefaa zaidi kuwa rais wa Tanzania
 
Centralization ni mode ya madikteta wote duniani. Wao huamini kua hakuna mwingine anayeweza kuifanya hiyo kazi zaidi yao. They crave for more and more power
 
Watawala uwezo wao ni "Kukosoa kwa Kujikosoa".
 
Mbunge wa Iringa Mjini kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, Mch Peter Msigwa amesema Serikali imekuwa ikifanya mipango ambayo haipo katika mpango wa miaka mitano ambayo imekuwa ikiligharimu Taifa. Msigwa amewasha moto huo wakati akichangia katika wizara ya fedha na mipango.

Chadema bhana...... sasa yeye " kama " mbunge amefanya nini zaidi ya kulalamika!
 
Ngoja aisome namba maana wamekula enzi za Lazaro.
 
"Mtu kulipwa mshahara mnono mnachukia na kupiga kelele, acheni u-sadist".

Kiukweli mtu anayechukia mtu mwingine kuneemeka kihalali huyo ni saddist kabisa.

Kama Mungu akipenda tuishi maisha mazuri kama malaika tutaishi tu, hayo maisha ya ushetani ataishi shetani na wafuasi wake.
 
Back
Top Bottom