mbatombato
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 441
- 245
Ni kweli mkuu upo mbaali saana.. ""Nyuma ya keyboard..."" umejificha..Mkuu kwa maisha yangu binafsi nipo mbali sana. Naongelea huyu anaetoa lugha kali kwa walio mchagua, baada ya kuwaletea maendeleo yeye yupo na kuwapa lugha za kijinga tu. Au na wewe mmoja ya wajinga?[emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] together we are... together we are buddy...!!!A mannerles person will remain mannerless no matter the level of education he/she might have.
Naona ninyi wapenda kuchapwa mpaka mmeamua kujenga Ukuta wa kushika ili mchapwe nao vizuri..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo ndo siasa yaan chadema walimganda lowasa fisadi ili asipitishwe na ccm then wenyewe mampe agombee kupitia cdm waongeze viti vya ubunge.kama kweli ni mwizi why wasimakamate.Jiulize nan alikulaz hela za LUGUMI EPA DOWANS ESCROW METEMETA. BIZWAGI. CCM NDO TATIZO PLUS MFUMO
That is the end of your thinking capacity.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] together we are... together we are buddy...!!!
We are in this together!!
Unapochamba lazma uyashike..
Don't try to act smart..!!!!
Wewe itakua unapenda saana kugeuzwa, geuzwa??Jina lako naona umeligeuza ndio maana ulivyosikia ukuta ukadhani ukuta unaoufahamu wewe.
Kweli akili zenu magamba niza kukurupuka.
Same as you mkuu..That is the end of your thinking capacity.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Siku akitangaza kukata watanganyika vichwa NDIO NITAMUONA KIONGOZI hivi sasa ni uchwara tu unamsumbuaHahahahahaaaaaa! Hata kama Ikulu itauzwa anadhani kuwa atanunua fisadi Lowasa ili aishi hapo?
IkuluHii nchi ni zaidi ya kivutio
Acha pumba.Mimi ikifikia kumuuza Jescaa ****** ndio nitatoa offer
Kwetu vibibi vya miaka kama 100 vilikuwa na uwezo wakutabiri mtoto anayezaliwa wakati mama anasukuma na atakavyolia akikua akili yake itakuwaje. Wakibaini itakuwa kama ya kwako walikuwa wanaviua huko anakozalia mama.Huyu naye kaona hapo ndio pakutokea !!
Kwanza anakumbuka kauli zake
"Anae Muunga Mkono Lowassa Akapimwe Akili"
Alisha kwenda kupimwa
"Nataka hao wanaotetea maandamano watangulie wao halafu wataona cha mtemakuni’"
Ni sawa tu kwa kuwa ikulu ni sehemu ya majengo ya serikali. Sijui nani atainunua. Labda Wajerumani walioijenga.Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa mjini (Chadema) amemshauri Dk John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuuza kwanza Ikulu kabla ya kuuza majengo mengine ya serikali ili zipatikane hela za kuhamia Dodoma, anaandika Josephat Isango.
Msigwa amesema hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook na kusisitiza kuwa haamini kama watanzania ni kama ng’ombe wataswagwa swagwa tu.
“We have a serious challenge as a National(tunachangamoto hasa kama taifa), nimshauri Rais aanze kwanza kuuza Ikulu ndipo majengo mengine ya umaa yafuate, nadhani ikulu itapata wateja mapema , tutapata hela za kuhamia Dodoma.” Ilisomeka kauli ya Msigwa.
Mbunge huyo pia amesema haamini kuwa watanzania nikama ng’ombe ambao wataswagwa swagwa tu wakae kimya, na kuonya kuwa mengi watayaona ambayo bado hayajajiri.
Kauli ya Msigwa inakuja ikiwa ni wiki tu tangu serikali ya Magufuli kutangaza mpango wake wa kuhamishia serikali yote mkoani Dodoma kabla ya mwaka 2020.
Magufuli alitoa kauli hiyo, wakati akihutubia mkutano mkuu maalum wa chama chake – Chama Cha Mapinduzi (CCM) – tarehe 23 Julai. Mkutano mkuu wa CCM uliomalizika mkoani Dodoma wiki iliyopita, ulimchagua Dk. Magufuli, kuwa mwenyekiti wa tano wa chama hicho.
Katika hotuba yake mbele ya wajumbe, Magufuli ameeleza kile alichoita, “dhamira yake ya dhati ya kukamilisha mpango wa serikali wa kuhamia Dodoma.”
Uamuzi wa kuhamishia makao makuu ya serikali mkoani Dodoma, umeonekana kupokelewa kwa hisia tofauti tangu ulipotangazwa wengi wakisema uamuzi huo unafanyika kwa papara na bila maandalizi.
Katika bajeti ya serikali iliyopitishwa na Bunge mwezi uliyopita, hakukutengwa fedha zozote kwa ajili ya kazi hiyo.
Kwani amekosa nini Msigwa? Magufulu alisema atauza nyumba za serikali. Kwani Ikulu siyo nyumba ya serikali? Mbona watu wanaweweseka?Haka kaandunje kachungaji feki haka kana visa kweli kweli. Mara kaseme watu wapimwe akili wakimchagua fisadi fulani, mara katake kuzichapa kavukavu na DC Kasesera, mara hivi ali mradi vurugu tupu. Siasa kweli ni shida!
Laana ya usaliti itakuandama sana ona sasa hadi chama chako act kinadai demokrasia wewe ulikuwa unajifanya unatetea uzalendo ona sasa unafiki ulivyokujaa umebaki kuwa ng'ombe aliyekatwa mkia na wanaccm wanakujua wewe umekatwa mkiaHahaha naona umejipanga vyema kushika UKUTA