Mbunge wa Iringa mjini Mh.Peter Msigwa ametimiza masharti ya dhamana huku wengine 60 wakimalizia taratibu zakupewa dhamana.[ mbona hii mambo huyu mbunge hayaletwi humu jukwaan mapema? Mbona lema akikohoa tu inaandikwa? Watu wa iringa amkeni.
Mbunge wa Iringa mjini Mh.Peter Msigwa ametimiza masharti ya dhamana huku wengine 60 wakimalizia taratibu zakupewa dhamana.
Haja chezea kichapo?Mbunge wa Iringa mjini Mh.Peter Msigwa ametimiza masharti ya dhamana huku wengine 60 wakimalizia taratibu zakupewa dhamana.
Ukombozi hauji lelemama. Hata Mandele ameishi sana jela.
Mwenyezi MUNGU yuu upande wako msigwa wala usihofu.
MBONA MIJI MINGINE MFANO DODOMA,SHINYANGA NA SUMBAWANGA WAMACHINGA WAMEJAA TELE KILA KONA..MBONA HAWAONDOLEWI??KULIKONI IRINGA MJINI AU NDO SIASA ZA MAJI TAKA?