Mchumia Rungu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 1,439
- 826
Kwa hiyo kila anaesomea mambo ya dini automatic anakuwa mchungaji?
Hebu tuwe wakweli hapa. unataka kutuambia wanafunzi wote waliopita seminari ni mapadre?
Uchungaji wa Msigwa ni wa kujibambikiza tu, sijawahi kuona mchungaji akichochea vurugu siku ya kumuabudu Mungu
Nakumbuka jumapili moja mchungaji alikacha kwenda kanisani akaenda pale barabara mbili kuchochea vurugu kwa wamachinga,. matokeo yake polisi wakapiga mbata kichogo na kumsweka rumande
Ndugu zanguni,
Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.
Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.
Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.
Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?
Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?
Aliteuliwa na nani?
Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze
JITAMBUE!
graduation day
siku ya mahafali nilipo maliza degree

Adrian ulichoshabikia hapo ni nini??....hao unaowasubiri waje ni kina nani?
Nadhani Lukosi sijui mkosi umepata majibu.....kama unajitayarisha kuja kumuondoa Msigwa jimboni 2015 njoo kivingine...unatafuta maneno ya kuja kuanzia kwamb Msigwa anjiita Mchungaji kwani hakuna chuo alichosomea.....UMEUMBUKA WEWE SENGE LA MAJUU
Mbona inaonekana kama wako katika ukumbi/sebule ya Mtu/hoteli,mbona kawaida ya Graduation ya Shahada na kuendelea huwa wanavishwa Kofia,cheti ni Secondary Schools
Inawezekana alitafuta Joho akatafuta wahuni wachache wa kizungu na kiafrika akapiga nao picha,akachagua mwenye afya akamfanya Chancellor ili amkabidhi Cheti
Alichokosea ni kuwa Higher Education Graduates huwa wanavishwa KOFIA za pembe nne kwa Shahada ya Kwanza na Uzamili,na PHD wanavishwa Kofia za mduara
Sio lazima kuvaa kofia, uwe unafanya utafiti kwanza wewe mfano University of Cape Town chuo kikuu bora zaidi Africa wanafunzi wa degree ya kwanza na uzamili (masters) hawavai kofia. PhD tu ndio wanavalishwa kofia.
Ndugu zanguni,
Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.
Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.
Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.
Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?
Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?
Aliteuliwa na nani?
Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze
JITAMBUE!
graduation day
sio kutokana na wingi, undergraduate na masters hawavishwi kofia na wote wanapita mbele. Nimesoma University of Cape Town class of 2012. Usiongee vitu usivyovijua.Kama hawavishwi kofia ni kutokana na wingi wao kama hapo University of DSM,lakini sio undergraduate wanapewa vyeti siku ya mahafali instead,acha uongo mi nimesoma Umtata Univesity jimbo la Transkei South Africa,wadanganye wengine