huyu jamaa naye huwa haeleweki kila sehemu anataka kugombea na kuongoza...chama wa wasanii yupo...wasanii wa injili yupo...chama cha wanasheria huwa anagombea lakini huwa anakosa...anapenda sana kuongoza lakini nafikiri hana bahati na uongozi..........
.....Nakumbuka Iringa Mjini mlianza kuwaadhibu CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa. kwa picha hii, Udiwani na Ubunge Iringa mjini CCM watalia sana mwaka huu. Vipi hali kwa Lukuvi?
.....Nakumbuka Iringa Mjini mlianza kuwaadhibu CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa. kwa picha hii, Udiwani na Ubunge Iringa mjini CCM watalia sana mwaka huu. Vipi hali kwa Lukuvi?
Jimbo lishaondoka hilo, hakuna alichokifanya cha maana kwa muda wa miaka mitano, yeye aendelee na kazi yake ya zamani ya kulisha Kondoo wa BWANA, hiyo ndio inamfaa!