Jimbo lishaondoka hilo, hakuna alichokifanya cha maana kwa muda wa miaka mitano, yeye aendelee na kazi yake ya zamani ya kulisha Kondoo wa BWANA, hiyo ndio inamfaa!
Hahaha! Hakika kamanda! Lakina usishangae hao ni wepesi wa kusahau wamekaa kama kuku.Mbona kinana alizunguka ncli nzima kueleza alichofanya Kikwete? Mbona serikali walikuwa wanaitumia Tbccm kueleza walichofanya kwani hatuoni? Wivu huo.
Eeh!! Vitanda tu? Barabara, mashule, viwanda na maji je?
Hivi kwa 'nyomi' yote hiyo aliyoipata Mchungaji Msigwa, bado Sisiemu wanaota ndoto za mchana na kujifariji eti wataligomboa jimbo hilo la Iringa mjini.msigwa atosha kabisa kwa iringa...
Kama una wivu jinyonge tu.Msigwa ni mropokaji sana.. Hakuna alichofanya Iringa
Iringa Manispaa waliojandikisha Ni 100,000 hao wanaweza kuwa watu wangapi waliobaki nje ya uwanja ni wangapi?
Hii ni mara 10 zaidi ya mapokezi ya Magufuli Geita.... Mwaka huu kazi ipo, I bet Ukawa kushika dola oktoba
Hivi kwa 'nyomi' yote hiyo aliyoipata Mchungaji Msigwa, bado Sisiemu wanaota ndoto za mchana na kujifariji eti wataligomboa jimbo hilo la Iringa mjini.