Umuhimu wa mbunge ni kuleta maendeleo jimboni kwake, nina imani kama ameyafanya hayo, basi wana iringa watamchagua tena maana sikuhizi bungeni ndio kumegeuka uwanja wa kujijengea umaarufu kiasi cha kusahau maendeleo majimboni. Wana iringa hilo ni muhimu kuzingatia mnapo mpima mgombea na siyo porojo za bungeni pekee