Anaogopa jamaa yake akiona itakua msala!kwako anapita tuHabari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.
Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?
Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
Mwenyewe kanielewambona unaongea kwa code, vingine kama nini funguka!
malezi kwamba wengine hufundishwa kuwa kushikwa kiuno ni mwiko?Malezi yanachangia!
asante kwa ushauri wako mkuuMuulize Kwa Nn Apendi? Jibu Lake Ndio LA Kukupa Waswas Au Amani.
nina miaka 27una miaka mingapi??? ivi kama unawaza haya utakua na habari kwa yaliyotokea juu ya MCC kweli?
Ungejua maana ya kushika kiuno katika hadhara ungeelewa. Ila nyinyi mnachukulia kila kitu kwa kuiga u-magharibi,huwezi ELEWA. Good daymalezi kwamba wengine hufundishwa kuwa kushikwa kiuno ni mwiko?
anatekenyekaje na mie huwa namtomasa vizuri tu.labda anatekenyeka
mwanzon nilihisi labda si mwaminifu.Anaogopa jamaa yake akiona itakua msala!kwako anapita tu
hili nalo linahitaji mazoea mkuu.Inawezekana hajazoea
Au anaona aibu
kwanini nimshike tako mbele ya watu mkuumshike tako nayo akigoma mtupilie mbali uyo akufai
mbona umri wako hauendani na ulichoandika, kiafrika afrika unawezaje mshika mwenzio kiuno mchana kweupe? mbaya zaidi yeye hapendi!!nina miaka 27
She is fridged!Habari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.
Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?
Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
ana miaka 24Huyo mchumba wako ana miaka mingapi?